Mitandao ya kijamii ifungwe watu watie akili!

Mitandao ya kijamii ifungwe watu watie akili!

Sidhani kama kuna haja ya kuzima mitandao, maana hata hao ma ccm yanatamani kweli mitandao izimwe, mitandao ni mizuri kwa sababu inatoa habari na watu wanatoa maoni yao pale na pia inahamasisha, tatizo letu watanzania ni unafiki, uoga, kujipendekeza, tamaa, na kukosa uzalendo na pia hatuna umoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom