Ibra6-apa A town kuna jamaa wame improve wizi wao, wao awaibi kwa roba, fatuma wala awauui, wao wataka pesa tasilimu au simu tu, na kwa bahati mbaya wakichukua docoment zako kama atm card, pasport ,leseni ya gari na vingine wanazipeleka office ya posta yoyote na kuvitelekeza apo, kumbe hawa jamaa kdgo wana huruma
mtwara, kuna mdenganamadi na likonde ni noma ingawa sasa ivi wale jamaa walikua wanajiita (tukale wapi) ni madereva wa bodaboda.
du kumbe bodaboda makes life better
Ndenga, Likonde, Magalani( inafanana na Unga Limited kule Arusha) na sehemu moja inaitwa Misri kule Mtwara, hayo ni maeneo.hatari kabisa. Unaweza kuporwa hata unga wa ugali kilo moja mchana kweupe!