Mitaa korofi na hatari mikoani

Mitaa korofi na hatari mikoani

Mbeya kuna sehemu kunaitwa Nonde. Kwingine kunaitwa Mapelele kule Mbalizi.
 
Dar katika wilaya ta tmk ni kaburi moja yombo makangalawe na mbagala kibonde maji pamoja na kurasini relin
 
1.sahara

2.mabatini

3: Kona ya bwiru alipouliwa yule rpc mangi mchagga hapo Mwanza hapo
 
Mwanza maeneo korofi na hatari ni
1. Bugarika
2. Igogo
3. Sahara
4. Nyanshana
5. Pasiansi
6. Mabatini (miembe giza na orange tree)
 
Mwanza maeneo korofi na hatari ni
1. Bugarika
2. Igogo
3. Sahara
4. Nyanshana
5. Pasiansi
6. Mabatini (miembe giza na orange tree)

Kaka umenifurahisha sana mabatini miembe giza na orange tree nimeipenda sana naongezea na nyambiti
 
Dar pita Keko machungwa,kurasini kijiji cha wavuvi,chadema bombom,kigogo kwa binti kahenga,mwananyamala kisiwani,manzese midizini,kinondoni moscow,kariakoo bonde la jangwani.....kwingine wataongezea.
 
Arusha:Mianzini na Ngali pamoja na Matejoo.
Dsm:Jangwani,Magomeni hospital,Manzese mahakama ya simu.
Mbeya:Mabatini na Meta.
Morogoro:Manzese.
 
Back
Top Bottom