Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,579
- 7,282
Bunge kazi yake sio ku - rubber stamp. Wanaitwa watunga sheria kwani ni wajibu wao kuelewa kilicho letwa mbele yao kukijadili na ikibidi kukibadilisha au kurekebisha. Na wanaweza kukataa kilicho mbele yao.Kwani bunge linaandaa miswada ya sheria?!!! Muswada kwenda bungeni ni kama utaratibu tu kwa maana mswada huandaliwa na Mwanasheria Mkuu wa serikali na ukipitishwa na bunge hauwi sheria hadi Rais aukubali na kutia saini. Hivyo siku moja inatosha kabisa kwa bunge zima kupitisha hata miswada kumi.