Miswada mitatu(3) ya kujadili masuala ya madini na maliasili yafikishwa Bungeni kwa hati ya dharura

WEwe unataka amiliki nani kwa niaba ya watanzania au unataka kila mtanzania apewe kumiliki kipande cha mgodi?

Hao marais si ndio walisimamia hiyo mikataba leo inaitwa mikataba ya wizi? Tumeshaumwa na nyoka.
 
upload_2017-7-2_11-9-5.png


FCI shares ('Free Carried Interest shares') kwa Tanzania inaonekana walivyoandika maana ilikuwa 16%.
Kenya FCI shares ni 10%, Zambia 10%, Congo 5%, Botswana 15%, Guinea 15%, Ghana 10%.
Kwa mlolongo huu tutakuwa 'competitive' kweli? Hatujakurupuka?
Inaonekana 10% ndiyo ya kawaida..
Isije ikawa kama ile VAT ya 'Ancilliary Services' katika usafirishaji iliyofutwa katika Bajeti 2017/18 baada ya kuonekana inaharibu biashara ya Bandari yetu..
Hisia ni kwamba tumewaachia Wanasheria zaidi katika haya mabadiliko kuliko kada nyingine hasa katika 'content' zilizohitaji utaalamu mwingine kama Uchumi n.k.
 
bunge lenyewe la NDIO MZEEE
...Kuna Mbunge mmoja namfahamu (Toka Mkoa wa Njombe) Kiingereza kimempitia kushoto. Sipati picha ATACHANGIA NINI katika muswada huo uloandikwa kwa Kiingereza. Atajua maudhui ya miswada yote?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom