Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?
hivi ile kesi yetu imefikia wapi!!au iko mahakamani hatutakiwi kujua maendeleo yake!Wataaaalam wanakuja..............
hivi ile kesi yetu imefikia wapi!!au iko mahakamani hatutakiwi kujua maendeleo yake!
Kwani wewe unaona ni nini??? Maumbiele au makusudi tu??
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?
Ikitinga mahakamani nistue nikatoe ushahidi, jinsi ulivo ieleza niliielewa vizuri mnooo hivo niko tayari kutoa ushahidi hata "mbinguni" (mwigu et al).... (jocking)teh teh teh...................bado wapendwa na cjuiiii hata wananitafuta nini.Wana hamu niwalipue mtandaoni
Ikitinga mahakamani nistue nikatoe ushahidi, jinsi ulivo ieleza niliielewa vizuri mnooo hivo niko tayari kutoa ushahidi hata "mbinguni" (mwigu et al).... (jocking)
Makusudi.
I see, umenikumbusha, hiyo mistari huwa inanipa mizuka sana.
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?
Umeonaee, big up sana wadada.ndo maana inaoneshwa