Hapo hakuna mistari,pochi mbele hiyo.Dah..KakaKiiza yaelekea upo safi sana kwenye hayo masuala! Wengine midomo ishakuwa mizito tayari!!
Kuna ngoma nyingine haziangalii pochi, sasa hizo watu wenye midomo mizito tunazipataje?Hapo hakuna mistari,pochi mbele hiyo.
Hiyo ni namna ya kutongoza kicheche, demu mtamu hatongozwi namna hiyo. Na ndio maana asali ya nyuki wa ulaya sio tamu kama wa hapa kwetu, kwa kuwa wa ulaya hawaumi
wote mmeongea lakin cjackia mtajo kondom
Hii ni baadhi ya mistari ambayo utumika kutongozea:-
Kwa wanawake waliokuwa katika umri wakuanzia 25.......na anakata kinywaji mambo huwa hivi...
Dada:Hapana wekaa tuu!
- Dada za kwako samahani sijui hapa naweza kujoin na wewe kama hautajali??
Dada:Mimi mzima siju wewe!
- Habari za kwako mzima?
Dada:Hapana kaka nashukuru sana mimi ninacho kinanitosha!
- Mimi sijambo,mhudumu tafadhali naomba Castle ya barrriiidi msikilize dada anakunywa kinyawaji gani!
Dada
- Hapana Dada kwani ukinywa moja kutoka kwangu utagombezwa??Please bwana tafadhali sana mhudumu mletee kinywaji anachokunywa!
ah yani yani nilitaka kuondoka naenda kwa fundi unajua asubuhi gari iliniletea matatizo hivyo nataka kuipeleka!!basi naomba Heinken baridi tafadhari.
Dada: Hata mimi sijui ila kama unafundi ntakushukuru sana!!
- Ahaa pole nini tatizo lagari yako??Basi baada ya hapa kama hautajali nina fundi wa magari yangu naweza kumwambia aje aiangalie tatizo au sijui wewe unaonaje??
Dada:Mimi naitwa fasibuku AshaDii!kazi nafanya kazi Jamii saccos Nanyie za kwenu zipo wapi??
- Dada wewe unaitwa nani??Mimi naitwa Rejao fingafinga marwa 25 na kazi nafanyia JF
Dada:Vizuri nimefurahi kukufahamu...................
- Dah swali zuri Sisi zipo mjini pale samora utakapo kuta kibao kimeandikwa DELL,Toshiba,HP zote ni office zetu karibu!!
Dada basi wote tule mbuzi.................
- Waiter tuletee kama tulivyo naniitie mchoma nyama,vipi utapenda nyama choma?kuna mbuzi,kitimoto,kuku! sijui utapendelea nini??Mimi binafsi napenda Mbuzi!
......................mmh mbuzi mtamu......mwambie mhudumu aniletee heinken hii ya tano ya mwisho na sijui kama nta weza kudrive.......naninakwambia leo wewe utanibeba na mpaka unidrive mpaka home!!!!!
DADA:Ndiyo ila nasikia kuchoka unajua kuchoka!!......unajua kudrive vizuri sijui nani kakufundisha.......kwanini na mimi usinifundishe leo kudrive kama wewe..................
- Usijali Fasibuku kwakuwa umeshakuwa usiku basi twende na gari yangu hii tutaipaki kwa walinzi wa ofisini kwetu usitie shaka!!...............ulisema unakaa wapi??mwenge?? karibu tunafika.......
watalaamu endelezeni.....