Missing you

Missing you

heheheheh nimewekwa ndani kwani kidogo! yaani nimeamini kuna sehemu ukigusa best you are deemed to be lost completely! najitahidi hapa kujinasua lakini chai yenyewe naletewa kitandani nambie ntatokaje sasa...

how are you doing?🙄
Heeeee! Hata wewe shemeji? mie chichemi.
 
.....tena shemeji yako ndio kiongozi wa mila zetu!infact muongozi woooote wa kudumusha mila TUNAUKOPI KWAKE

Isipokuwa mimi tu. Nimerithi toka kwa babu yangu. Alikuwa na wake sita na watoto 42! Nimerithishwa mikoba yake.
 
.....tena shemeji yako ndio kiongozi wa mila zetu!infact muongozi woooote wa kudumusha mila TUNAUKOPI KWAKE

niligundua hilo jana mpwa khaaaaaaaa!!! ulei huu kazi kwelikweli Kaizer unakili sailently B.
 
ulivonaswa kwenye malove mazito je!!! hata kujinasua huwezi tangu krismasi hata leo .....si vekesheni ya aina yake hiyo B!!!

Afu wewe! Wewe! Tangu asubuhi ulikuwa gesti gani ndio unaibuka mida hii?
 
Isipokuwa mimi tu. Nimerithi toka kwa babu yangu. Alikuwa na wake sita na watoto 42! Nimerithishwa mikoba yake.[/QUOTE]
Siipendi hii statement.Halfu inajirudiarudia.Isijenifanya nimalize mwaka vibaya.
ishindwe na ilegee na mikoba iteketee kwa damu ya Yesu.
 
Siipendi hii statement.Halfu inajirudiarudia.Isijenifanya nimalize mwaka vibaya.
ishindwe na ilegee na mikoba iteketee kwa damu ya Yesu.
...mama,
hii naomba uiende tu!ukisoma SONGS OF LAWINO wanasema wenyewe ''THE PUMPKIN OF THE HOMESTEAD MUST NOT BE UPROOTED''

zidumu mila zetu za ki-afrika!
 
Back
Top Bottom