Missing you | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Missing you

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Preta, Dec 28, 2009.

 1. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Chrispin, masanilo, katavi, iteitei lya kite, carmel, bht, where are you guys?

  nilimsahau klorokwin where are you bwana?
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wapo moshi!WANATAMBIKA
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ENJOYING XMASS AND NEW YEAR's HOLIDAYZ.
   
 4. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli haven't read their useful comments for long time, Kaka Xpin bado uko Marangu?
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  katavi alisema anaenda ufipa hajarudi tu?
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Xspin-Atakuwa hapa jamvini kuanzia kesho.

  Masanilo-Mh may be after two wks amekamatika na MZENJI 100%. Yuko jimbo lake la
  uchaguzi na kama haitoshi MZENJI ndio kampeni manager....hapatoshi huko na Lazima
  wachukue jimbo. Atakuja mwenyewe kudhibitisha haya.

  Iteitei lya kite-Moshi kuna mvua sana laptop yake imekosa network.

  Carmel wako na mumewe vekesheni comoro.

  Bht-Kaenda kutolewa mahari kijijini kwao.

  Ni mimi tu niliyebaki kuwaletea habari.
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Aikambe mochi kanyi
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh, namuonea huruma huyu shemeji atakayemuoa.
   
 9. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Aika monowama, aika mmeku, chamecha lyanyi.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Afu wewee! Ule mchango wa nauli wapi? Mi nafia huku mkombanyi kwa kukosa nauli ujue. Hahaha! Miss you too guys! SENKSI! Mola akijalia heri kesho inshallah! By ze wei, hakuna aliyemzengea mchumbangu Zd? Nakuja na kisu kilicho├Ândoa uhai wa ndafu. Hahahahahaha! Sent to you by smartphone blackberry@vodacom.tz
   
 11. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unajua kwenye ile issue ya mashori wa uswazi nilishangaa sikuwaona kuchangia,nikataka kuuliza nikaogopa kusutwa,maana siku hizi jf kwa kutoana nishai hamjambo.Nilihisi kuna kitu kinakosekana.
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Pretty, Mwanajamii'1, Penny, Woman Of Substance aka 'nanihii'...Lol , Bubu ataka kusema, sijawasoma siku nyingi... mpoooo? ...
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha, nakutumia kwa MP PESA umenywea mbege yooote? au tumia gari ya bro ya kwa kila goti litapigwa tuta clear huku. Au tumia anga la precision air.
   
 14. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2009
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nguli u have all needfull info, senks tena
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,660
  Likes Received: 1,494
  Trophy Points: 280

  tatizo lake alipoenda huyua akaanza kutatua tatizo la kila mwanakijiji kule unategemea nini? huyu anakwambia kitochi, huyu anataka kiti moto, huyu anataka 'kubadili kinywaji' anywe Bia nk

  bado hujakutana na anayekwambia hajala nyama toka mwaka uanze!
   
 16. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo yamekuwa hayo tena? Basi bora tubadilishe jina la forum hii na kuiita Wachagga Forum. Ukabila ukabila kila kukicha! agggggghhhhhh! :(
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Kwani umeongea kikwenu ukakosa wenzio? usitukwaze tuna raha zetu za xmas and we are proud to be chaggas, mndenyi oyeeee
   
 18. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2009
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Heee! wewe ngoja nikupotezee
   
 19. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Lugha ambazo zimeruhusiwa hapa ni Kiswahili na Kiingereza ili wote tuweze kufuatilia mijadala inayoendelea, kama Kichagga nacho kimeongezwa kama ni lugha inayoruhusiwa kutumika hapa basi tufahamishwe hivyo. Nyie watu kwa ukabila!
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Eti? Am back. Gonga SENKSI hapo fasta! Hahaha! Nna senksi 50 za kugawa, changamkeni! Miss u too dada/kaka!
   
Loading...