Missing you

Hahaha! Ushaanza woga?

siogopi hata yee Mungu!!! Afu signacha yako hahaaaaa...'umefulia' huh!!! Afu Sir God kakaa kando hahahaaa!! mshukuru Nguli kakuombea lifti .....kila goti litapigwa aza waizi saaa hii bado mlimani kudadeki unapalilia mgomba tu
 
...Pretty, Mwanajamii'1, Penny, Woman Of Substance aka 'nanihii'...Lol , Bubu ataka kusema, sijawasoma siku nyingi... mpoooo? ...

Namalizia honeymoon, si unajua tenaaaaa!! Mwakani kama kawa ndani ya jukwaa hili.
Heri ya mwaka mpya 2010.
 
........Nimemiss kwa kweli JF haswa hili jukwaa, honeymoon ndio inaishia mwakani makamuzi kama kawaida ndani ya Jf. Natamani niwe nachat Jf kwa kutumia simu, ila ndio hivyo tena inabidi niwe busy na Mr.
Nimewamiss kinoma wapwaz na binamuz.
Heri ya mwaka mpya 2010!!

happy new year pretty take care
 
Back
Top Bottom