kabisa ila zote zinatumika. Mwenyewe nimemmis
hahahah umenikumbusha mbali mno kuna waongo wengi waliumbuka.Respect kwa tyta
Alikua ana uwezo wa kupitia post/threads zako zoote tangu kujiunga kwako ilimradi tu akuumbue
Hahaa alikua anaumbua watu sana kule MMU.Respect kwa tyta
Alikua ana uwezo wa kupitia post/threads zako zoote tangu kujiunga kwako ilimradi tu akuumbue
Pengine alikuwa mode....Huyu alikuwa mzee wa kuunganisha uzi za watu, ukiwa mnafiki lazima akuanike na uzi zako zote hapa hapa jukwaani jinsi unavyojikanyaga.
Alimbamiza Lara1 vibaya sana, lara1 aliomba pooo, alafu nafikiri ni tozi fulani hivi anapenda sana basketball, pia anatema sana yai!Nakumbuka mpambano wake na lara 1. Dah walikuwa wanapasua yai la hatariii. Yaani ukiangalia hizo nyuzi ni lazima urudi darasani maana ni yai la kisasa kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kama mechi ilikuwa droo ila dikshenari zilipata taabuAlimbamiza Lara1 vibaya sana, lara1 aliomba pooo, alafu nafikiri ni tozi fulani hivi anapenda sana basketball, pia anatema sana yai!
Probably atakua anaishi states..Alimbamiza Lara1 vibaya sana, lara1 aliomba pooo, alafu nafikiri ni tozi fulani hivi anapenda sana basketball, pia anatema sana yai!
Yaani ilikuwa ni mechi kali sana, mi nahisi tyta alishinda maana ilifika wakati lara1 alianza kudai anaonewa na tyta sababu ya jinsia yake.
Exactly. Mwishoni lara1 aliomba poo akaingia mitini mazima. very very rare kwa lara 1. Nahisi baada ya mpambano alimtafuta ampe zawadi ya ushindi. HahahaaaYaani ilikuwa ni mechi kali sana, mi nahisi tyta alishinda maana ilifika wakati lara1 alianza kudai anaonewa na tyta sababu ya jinsia yake.
Kweli dictionary zilipata tabu sana!!