Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,546
- 860,609
Inawezekana wengi hawamjuu huyu gwiji bingwa wa jukwaa hili la picha, enzi zake ilikuwa utake picha gani akose kukupoza kiu yako? Alini inspire sana kuingia JF PHOTOS... lakini ni kama zaidi ya miaka miwili sasa simuoni popote!
Hii ndio ilikuwa Avatar yake maarufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio ilikuwa Avatar yake maarufu
Sent using Jamii Forums mobile app