Missed call ya shemeji

Missed call ya shemeji

hadith nzur lakini sijajua hatima ya yule dada wa aisha na ile mimba aliyokuwa nayo daudi njo unijibu
 
Binadamu yeyote ana makosa...usipotaka kumsamehe mwenzio kwamba we ndo uko perfect au ni vipi?
Kwani hakusamehewa? si ndo maana waliendelea kuwa pamoja alichotakiwa sasa kumfanya mumewe arudi kwake ambaye kwa wakat huo alikuwa hana mpango na yeye ndo gharama zenyewe hizo, wew unafikiri ilikuwa rahisi kusamehe na kugeuka ghafla lazima ichuke muda kwani mwanaume tayari alikuwa kainvest kwingine
 
hadith nzur lakini sijajua hatima ya yule dada wa aisha na ile mimba aliyokuwa nayo daudi njo unijibu
Yule dada hakuwa na mimba ila alikuwa anatingisha kiberiti tu ili aone reaction yake kwa bahati mbaya mission was failed
 
Sasa si alijaribu ndani akashindwa akaamua kujaribu plan B
Unajua Khantwe kusema tu nimekosa nisamehe sio tiket ya kusamehewa lazima uingie gharama na gharama inakuja kwa namna yoyote ile, na gharama ya Aisha ilikuwa hiyo tena angetumia akili kumrudisha mume wake Ummy angemsaidia ila kwakuwa hakujua afanye nini ndo taabu yake, kingine aliamua kufanya kimya kimya kitu ambacho kilimkost, unaanza kufanya uchunguzi wakati unajua mambo yamemwagika uchunguzi wa nini angemface mume wake kuwa najua una mwanamke mwingine naomba tukae chini tuyamalize mumewe angemsikiliza, umeona jibu alilopewa baada ya kuuliza Faidha ni nani?
 
Kwani hakusamehewa? si ndo maana waliendelea kuwa pamoja alichotakiwa sasa kumfanya mumewe arudi kwake ambaye kwa wakat huo alikuwa hana mpango na yeye ndo gharama zenyewe hizo, wew unafikiri ilikuwa rahisi kusamehe na kugeuka ghafla lazima ichuke muda kwani mwanaume tayari alikuwa kainvest kwingine

Unaambiwa Aisha alianza Kuwa na tabasamu pana mumewe akirudi anampokea vizuri bila hata kumuuliza kwa ukali....angembeba mgongoni????? Shenz zake tu mwanaume Malaya huyo....
 
Huyu Beka p.umbaf thana....

Aisha ndo pumbafu sana. Haya aendelee kubania. Niliwahi kuwa dada mmoja akanambia nimsubiri hadi ndoa, nikamwambia siwezi akanambia utaweza. Akaongeza ulinzi bila kujua kuwa binadamu anayeenda kazini huwezi kumchunga. Siku ya siku kwenye begi la laptop akakuta paketi c.ondom mbili zimepasuliwa, nilikuwa mdogo sana ila aliponiuliza nikamwambia ulitegemea nifanyaje?
 
Unaambiwa Aisha alianza Kuwait na tabasamu pana mumewe akirudi anampokea vizuri bila hata kumuuliza kwa ukali....angembeba mgongoni????? Shenz zake tu mwanaume Malaya huyo....
Hahahahahaha! kwahiyo unafikiri tabasamu lilitosha kumrudisha mume ambaye tayari alikuwa amenaswa kitanzin? mim nadhani mwanaume sio malaya labda kama definition ya malaya siijui, akampa talaka mmoja na kubaki na mmoja hakuwa na tamaa ya kubaki na wote wawili na aisngeweza kumuoa dada kwa sababu moja alikuwa mkubwa kwake ni ugwadu tu ulimfanya akachuja lakini pili kuepusha mgogoro wa familia, Beka alikuwa sahihi kwa hili labda na huyo Faidha asingemuoa ningekubaliana na wewe
 
Kwa Mara ya pili baada ya chai chungu nimesoma hadithi nyingine humu jamvini.

Ya chai chungu ilikuwa noumer, ilifanya watu tukeshe hadi ufanisi wa thread nyingine ukapungua. Sema naye conclusion yake haikuwa kivile, anyway ndo aliamua iwe hivyo.
 
Hahahahahaha! kwahiyo unafikiri tabasamu lilitosha kumrudisha mume ambaye tayari alikuwa amenaswa kitanzin? mim nadhani mwanaume sio malaya labda kama definition ya malaya siijui, akampa talaka mmoja na kubaki na mmoja hakuwa na tamaa ya kubaki na wote wawili na aisngeweza kumuoa dada kwa sababu moja alikuwa mkubwa kwake ni ugwadu tu ulimfanya akachuja lakini pili kuepusha mgogoro wa familia, Beka alikuwa sahihi kwa hili labda na huyo Faidha asingemuoa ningekubaliana na wewe

Umalaya anao...ana tamaa...kama ilivyo kawaida ya wanaume anapenda kubadilisha ladha kila wakati. Baada ya mkewe kuomba msamaha ilibidi aachane na michepuko atulie ndani kisha aone kama atanyimwa tena ndo afanye maamuzi lakini janaume lina kiburi acha kabisa......na kumbuka alitaka kuoa wote wawili sema wenyewe hawakutaka. Alimfanyia hivyo kunyimwa unyumba je angemfumania angefanyaje??
 
MESTOD hayo ya kupeana kabla ya ndoa ni mengine kwanza haikuwa haki yako....then ulifanya hivyo ili umuonyeshee au...???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom