Missed call ya shemeji

Missed call ya shemeji

Daudi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
14,602
Reaction score
22,936
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-1


"Dada Ime, kama wewe dada yangu kweli niambie ukweli, nini kinaendelea kati yako na mume wangu?"
"Hakuna mdogo wangu, unajua mumeo amezidi sana utani. Ni hilo tu."
"Mbona jana usiku alikuja chumbani kwako nilipotoka kwenda chooni mkajifanya mnaulizana chaja ya simu?"

"Eee, alisema chaja yake imepotea na simu haina chaja anataka kuongea na wazazi wake."
"Oke, wewe unaishi kwangu na hufanyi kazi, lakini kila siku una vipodozi vipya, pafyumu za kisasa, nguo za maana, nani anakununulia na unashinda ndani mchana kutwa?"
"Nilikuwa na akiba kidogo nilipotoka kwa mume wangu."

"Juzi usiku nilipopita usawa wa mlango wako kwenda chooni nilikusikia unalia kimahaba, mume wangu alikuwa hajarudi lakini cha ajabu aliporudi nilishtukia anaingia ndani, je! Hakuwa kwako?"
"Akha! Yeye amesema alikuwa kwangu? Muongo mumeo, anataka tuvurugane."
"Hajasema alikuwa kwako, ila mimi nahisi alikuwa kwako. Dada please, niambie ukweli, naweza kumwambia baba kijijini kwamba unatembea na shemeji yako."

"Noo, hautakuwa umenitendea vyema Aisha mdogo wangu, mimi na wewe ni ndugu na Beka ni mumeo, sasa ukisema uwaambie wazazi jambo zito kama hilo ni vibaya, naamini umenifikiria tofauti mdogo wangu."

Aisha alimkazia macho dada yake Ime ambaye kirefu chake ni Imejinina akiamini anatembea na mume wake. Moyoni alisema...

"Wengi niliowahi kuwasikia wakilalamika kuhusu mashemeji ni wakubwa kuhisi au kugundua wadogo zao wanatembea na mashemeji zao, sasa mbona huyu ni dada yangu, tena wa kwanza, kuna wawili katikati yetu.

"Halafu ni kwa nini, mume wangu ni mdogo sana kwake na ndiyo maana anampa shikamoo."

***
Mara ya tatu, Ime kufika kwa mdogo wake huyo na kuomba hifadhi baada ya kuachika kwa mumewe kwa madai mwanamke huyo ‘ana mdomo sana' ilikuwa Jumapili jioni ambapo alipofika alimkuta Beka tu, shemejiye kwa mdogo wake, Aisha.
"Oooh! Shemeji, karibu sana mke wangu. Mbona ghafla kwema huko?"
"Kwema shemeji, sijui nyie hapa?"

"Sisi wazima sana. Ila mdogo wako amekwenda saluni muda si mrefu," alisema Beka huku akiingiza begi kubwa kwenye chumba cha wageni.
Alipotoka chumbani alifikia kukaa sebuleni…
"Enhe shemeji, vipi huko?"
"Da! Shemeji nyumbani kwangu bwana si kwema."
"Nini tena shemeji?"

"Nimeachwa."
"Ha! Umeachwa?"
"Ndiyo."

"Una maana umeachika siyo?"
"Ndiyo kuachwa shemeji."
"Kisa nini shemeji?"
"Sijui mwenyewe, jana usiku kaniambia mimi na yeye basi, hanitaki tena. Sasa nitamlazimisha shemeji?"
"Watoto?"

"Amesema anabaki nao kwa vile umri wao umefikia kuweza kuishi na baba yao pia."
"Mh!" aliguna Beka huku akijikuna kichwani kwa ishara kwamba, hakuwa akiwashwa bali ni mawazo kuhusu sakata la shemeji yake.

Angekuwa analingana umri na mume wa shemeji yake huyo angempigia simu na kumuuliza kulikoni lakini sasa umri uliwatofautisha sana.
"Shemeji we pole sana, lakini pia karibu sana, jisikie hapa upo nyumbani kwako shemeji yangu, sawa?" alisema Beka huku akisimama na kumpiga begani kama kumpoza, akaenda kwenye simu ambayo ilikuwa chaja akampigia mke wake…

"Aisha, ndoa yako na yangu leo imevunjika, nyumbani kaja mke wangu mkubwa, we ulie tu."
Aisha kwa vile alijua mke mkubwa ni dada yake Ime, alimuuliza mume wake mbona mgeni huyo amefika ghafla sana?
"Kuna matatizo makubwa alikotoka."
"Kama yapi?"
"Ungekuja basi, maswali gani hayo?"
"Oke, nakuja."

***
Baada ya dakika ishirini na tano, Aisha alifika nyumbani kwake na kumkuta dada yake ameshabadili nguo za safari na sasa yu ndani ya vitenge ambavyo alijifunga viwili, kimoja kilikatisha usawa wa nido kingine kwenye kiuno.
Jane alimkumbatia dada yake, wakaganda kama dakika moja nzima huku wakiulizana hali za watoto na maisha.

"Karibu sana dada."
"Haya asante."
"Kwema kabisa lakini huko?"
"Si kwema sana mdogo wangu, shemeji nimeshamsimulia kila kitu kuhusu nitokako."
Aisha akamgeukia mume wake na kumwangalia kwa macho ya kuna nini kwani…
"Ndoa ya shemeji imevunjika!"
"Eti nini?"

"Ndiyo hivyo mdogo wangu, shemeji yako kaniacha, kasema hanitaki tena ndiyo nikaamua nije kwako nipumzike kidogo kabla sijarudi kijijini kwa wazazi."

Aisha alilia sana tena sana hasa alipokumbuka siku ya ndoa ya dada yake huyo ambapo yeye alikuwa mpambe.

"Sikia nikwambie dada yangu…"
"Nakusikia mdogo wangu…"

"Kaa hapa mpaka utakapochoka, hakuna haja ya kwenda nyumbani wala kwa nani. Ukisema uende kwa wazazi utawapa mzigo, mimi sikushauri hata kidogo."
"Mh! Vizuri mdogo wangu, nilidhani hata nyinyi nitakuwa nimewapa mzigo."
"Wala shemeji, usijali kabisa kuhusu hilo," alisema mume wa Aisha, Beka huku akionesha dalili za uchangamfu wa hali ya juu kwa shemeji yake huyo, akaingiza na kautani…

"Ungechelewa kuolewa ningekuoa mimi, wala leo usingepata tabu kama hivi," wakacheka wote mpaka mbavu hawana!

***
Wiki ilipita, awali mtu wa kwanza kuamka ndani ya nyumba huyo alikuwa Beka, lakini tangu aje dada wa Aisha yeye ndiye amekuwa mtu wa kwanza kuamka na kukaa sebuleni akiwa amewasha tivii, akitokea Beka husalimiana kisha hutoka kwenye tivii kwenda kufanya kazi nyingine za ndani ya nyumba hiyo.

Na mara nyingi Beka akimkuta sebuleni, shemeji mtu huyo humchangamkia sana…
"Ah! Mume wangu huyo! Umeamkaje baby?"
"Nimeamka salama mke wangu, vipi wewe na kuamka kwako?"
"Mimi sijambo, najisikia nimeshazoea mazingira ya hapa."
"Utazoea zaidi maana upo kwa mumeo wa ukweli," alijibu Beka akiwa anaachia tabasamu.

***
Usiku wa siku hiyo, Beka na mke wake, Aisha walitofautiana chumbani, ikawa zogo…
"Mimi nataka nikisema unisikilize, siyo kujibishanajibishana, we mwanamke vipi?"
"Vipi kwani vipi, wewe mwanaume vipi?

Tuwemo..................
sosi:globalpublishers
 
Mnaanzidhaga hadithi tamu kisha mnakula kona. Sitikendo sijui sweet candle kaanzisha uzi mtam balaa wa house girl halafu kala bati
 
Mnaanzidhaga hadithi tamu kisha mnakula kona. Sitikendo sijui sweet candle kaanzisha uzi mtam balaa wa house girl halafu kala bati
Usijal mkuu naendeleza soon kuna kishughuli kimenibana hapa
 
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-2

ILIPOISHIA

Usiku wa siku hiyo, Beka na mke wake, Aisha walitofautiana chumbani, ikawa zogo…
"Mimi nataka nikisema unisikilize, siyo kujibishanajibishana, we mwanamke vipi?"
"Vipi kwani vipi, wewe mwanaume vipi?
ENDELEA KIVYAKO…


Dada wa Aisha, alisikia malumbano hayo kupitia chumbani anakolala, akashtuka na kukaa kitandani ili asikilize kwa undani.

"Kwani ina maana mimi sichoki siyo? Kila siku, kila siku utadhani chakula bwana," alisikika Aisha akisema.
Dada mtu alijisikia vibaya sana kwani alijua kilichokuwa kimetawala malumbano yao ni masuala ya unyumba kama si ndoa…

"Sasa huyu mdogo wangu, kama amefikia hatua ya kusema hivyo kwa mumewe, ndoa si itamshinda! Mke anaweza kweli kusema maneno kama hayo kwa mumewe? Kwa hiyo anataka mumewe achukue uamuzi gani sasa? Akitoka nje ya ndoa maneno, ooo… nasalitiwa! Kumbe yeye mwenyewe ndiye chanzo."
***
Asubuhi iliyofuata, dada mtu aliamka mapema, akaenda sebuleni kama ilivyo kawaida yake, akakaa na kuwasha Tv kuangalia vipindi mbalimbali, mara akatokea Beka.
"Za asubuhi shemeji?" alisalimilia Beka huku akionesha uso usiokuwa sawa tofauti na kawaida yake ya kupenda kumtania shemeji yake huyo.

"Salama shemeji, pole…ee! Umeamka salama?" dada wa Aisha alijichanganya hapo, lengo lake aseme umeamkaje, akajikuta anatoa pole kwa sababu mawazo yake yalikuwa kwa lile tukio la usiku.
"Nimepoa shemeji,." Alisema Beka, shemeji yake akashangaa kuona mwenye pole ameikubali bila kuuliza ni pole ya nini.

Hiyo ilimpa nguvu dada mtu kuuliza zaidi…
"Kwani shemeji nini kimetokea?"
"Aah! Shemeji mdogo wako wakati mwingine siyo."
"Kafanyaje?"
"Unajua…."

Beka alipoanza kusema tu, alisikia mlango wa chumbani unafunguliwa, ina maana Aisha anatoka, akasema…
"Shem nitakusimulia baadaye."
"Poapoa!"
***
Ni kweli Aisha ni mdogo wa Ime, lakini hudhani ni mapacha kwani udongo uliotumika kumuumba Ime ni wa aina yake, pengine ni huo wanaouita mfinyanzi kwani kwa macho haikuwa rahisi kumjua nani mkubwa, nani mdogo.

Mbaya zaidi walifanana hata sura na maumbo, tena umbo la Ime usiseme, alifungasha kwelikweli, kwa vile tu alichakazwa na maisha magumu ya kwa mume wake alikotoka.

Ila yeye pia alijaliwa weupe kumzidi mdogo wake Aisha, sasa kama angekuwa na maisha ya mjini na kutumia yale ‘mambo yetu' huenda weupe wake ungefanana na wa Mchina kama si Mzungu achilia mbali Mwarabu.
***
Aisha alitoka, akamkuta dada yake anawekaweka vitu sawa sebuleni huku akifuatilia matangazo kwenye Tv…
"Shikamoo dada."

"Marhaba, umeamkaje Aisha?"
"Salama tu, naona unapangapanga!"
"Ah! Usingizi unaisha mapema sana mdogo wangu, mawazo kibao."
"Usiwaze sana dada, nimekwambia we ishi hapa, kwani tatizo lako nini?"
"Najua, lakini mtu kwake mdogo wangu."

"Imeshindikana sasa, utalazimisha dada?"
"Lakini kweli mdogo wangu."
Aisha alipita kwenda jikoni kisha akaenda uani na kumalizia na chooni kuangalia usafi ulivyofanywa na msichana wa kazi.

Mumewe alirudi ndani akiwa ameshaoga, alijiandaa akatangulia kutoka kwenda kazini…
"Shem, mimi nawahi kibaruani, baadaye."
"Baadaye shemeji yangu, uniletee matunda bwana."
"Sawa shemeji."

Aisha yeye alicheka tu kisha akamtania mume wake…
"Na mimi baby uniletee matunda."
"Sawa."

Ndani ya moyo, dada yake alipata tabu sana kwani alijiuliza kama Aisha anasema vile asubuhi wakati usiku alitoka kumwekea ngumu mumewe kuhusu tendo la ndoa ni sahihi? Aliona si sahihi wala si sawasawa kwa mwanamke mwenye akili zake timamu kichwani.

Alihisi mdogo wake ameacha maadili waliyofundishwa na wazazi wao na kushika yake ambayo yametawaliwa na ubabe na kutokuwa na adabu ndani ya nyumba.

Alitamani sana kummbwatukia mdogo wake lakini moyoni akasema kwa sababu shemeji yake alimwambia atamsimulia baadaye hivyo ni muhimu kusubiri muda ufike ili amsikie ndipo aone uwezekano wa kuzungumza na Aisha.
***
Siku hiyo, Beka alirejea nyumbani saa kumi na mbili jioni. Sebuleni alimkuta shemeji yake…
"Ohoo, karibu mume wangu, pole kwa kazi jamani?"

"Nimekaribia mke wangu, nashukuru sana kwa kunipa pole kwa kazi," alisema Beka huku akiachia mfuko mkubwa wa rambo uliokuwa ukipokelewa na shemeji yake huyo.
Alifikia kukaa kwenye kochi, akavua viatu, soksi na kuhema kidogo kisha akaulizia kama mke wake alisharudi…

"Mke mwenzio amerudi?"
"Bado, tena kanipigia sasa hivi, kasema akichelewa, nianze kuchambua mchele maana kuna foleni," alisema shemeji huyo akipeleka jikoni ule mfuko ambao ndani yake mlikuwa na matunda.
"Ni kweli kuna foleni sana."

Shemeji alipoona Beka ndiyo amewahi kufika kuliko mkewe, aliamini ndiyo wakati muafaka wa kumsikia alichotaka kumwambia…
"Shemeji," aliita dada wa Aisha huku akikaa…
"Yes shemeji…"

"Asubuhi uliishia kuniambia utaniambia, ni nini kwani shemeji?"
"Ah! Shemeji mdogo wako anazinguaga sana. Basi tu! Hivi unaweza kuamini kwamba wakati mwingine inapita wiki tatu hataki kunipa unyumba? Ni akili hizo?"
"Kweli?"
"Kabisa."

"Ah! Aaaa! Madai yake?"
"Si ya msingi…"
"Kwamba..?"

"Anakuwa amechoka!"
"Na..?"
"Anajua yeye."

"Mh!" aliguna dada mtu huyo huku akimwangalia shemeji yake kwa macho ya huruma…
"Sasa ina maana unaishije shemeji?"
"Kivipi shemeji?"
 
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-3
ILIPOISHIA
"Mh!" aliguna dada mtu huyo huku akimwangalia shemeji yake kwa macho ya huruma…
"Sasa ina maana unaishije shemeji?"
"Kivipi shemeji?"
JIACHIE KIVYAKO…


Aaaa! Masuala fulani…"
"Kama..?"

"Kamaa…aaa…da! Yaani inapotokea mmegombana kama wanandoa inakuaje usiku, anakuchia uhuru au anabana?"

"Mh! Shemeji we acha tu, mdogo wako ananibania sana. Si inapotokea tumegombana tu, hata kama hatujagombana. Kwa kawaida yeye mpaka ajisikie…
"Mbaya zaidi shemeji, hata inapotokea mimi naumwa halafu yeye anataka ananilazimisha, lakini kwa upande wake sivyo."

"Da! Jamani, Aisha ameipatia wapi hiyo tabia? Sisi hatujalelewa hivyo, ndiyo maana hata siku ya harusi kama unakumbuka shemeji, baba aliongea sana, alimwambia akaishi na mumewe kwa jinsi alivyolelewa…

"Tena shemeji kama utakumbuka vizuri, baba alisema kusalitiwa ndani ya nyumba kunatokana na mke mwenyewe, ndiyo kama hivi. Sasa kwa mfano ukitaka kumsaliti hapa atasema wewe si mwaminmifu? Si yeye mwenyewe ndiye atakuwa chanzo?"

"Ni kweli shemeji, labda uongee naye mdogo wako."
"Akha! Niongee naye nini? Yeye si mtoto, anajua maisha, anajua kila kitu, mtoto ukimnyima chakula ndani akienda kula kwa majirani utamsema?"
"Huwezi kumsema shemeji!"

"Huwezi kabisa, maana wewe ndiye tatizo," alishadadia dada wa Aisha.

Beka akaendelea kulalamika…
"Unajua shemeji ilifika mahali nikasema afadhali ningekuoa wewe, maana kama unakumbuka wewe ndiye ulikuwa wa kwanza kuonana na mimi nilipokuja kule kikazi, ndiyo nikasikia ulikwenda likizo na ulikuwa una mume."

"Wewe kama mimi shemeji, hata wakati wa matatizo na mume wangu nilisema moyoni afadhali ningeolewa na wewe, unaonekana ni mtulivu, mvumilivu na mwingi wa busara kama siyo hekima."
Mara mlio wa gari ulisikika kwa nje, Aisha alikuwa amerejea…
"Shemeji huyo mwenye mji amerudi, baadaye basi shemeji," alisema dada wa Aisha kwa sauti ya kuiba asisikike huku akiwa amesimama…

"Sasa shemeji mazungumzo yetu bado lakini, nipe namba ya simu…"

"
Nitakupa kiaina," alisema dada mtu huyo huku akitokomelea chumbani kwake kwa mwendo wa haraka kama vile alikuwa hataki akutwe akiwa laivu na shemeji yake.
"Za saa hizi?" Aisha alimsalimia mumewe…
"Salama tu, za huko?"

"Huko poa kiasi chake, lakini si sana."
"Kwa nini?"

"Nimechoka sana, leo mambo yalikuwa mengi sana mume wangu."
Wakati Aisha anatumia neno ‘mume wangu', Beka akakumbuka jambo aliloongea na shemeji yake…
"Akha! Niongee naye nini? Yeye si mtoto, anajua maisha, anajua kila kitu, mtoto ukimnyima chakula ndani akienda kula kwa majirani utamsema?"

"
Huwezi kumsema shemeji."
"Pole sana mke wangu," alidakia Beka huku moyoni akisema…
"Ningekuwa mumeo kweli ungekuwa unaninyanyasa kitandani?"
"Nimeshapoa mume wangu! Dada yuko wapi?"
"Nadhani chumbani kwake."
"Amelala?"

"Sijui, lakini alikuwepo."
"Au anaumwa?"
"Nimekwambia sijui mke wangu."
Aisha alipita hadi chumbani kwa dada yake akamkuta amelala kitandani lakini si usingizi…
"Dada shikamoo."

"Marahaba, pole na majukumu mdogo wangu."
"Nimepoa, ulikula mchana?"
"Aaah! Nilikula sana, tena nilishiba haswa sidhani kama usiku nitakula."
"Kwa nini usile? Yaani kula mchana ni sawa na kula usiku? Mbona kila mlo unajitegemea."
"Tatizo shibe mdogo wangu."
"Hamna bwana dada, usiwe hivyo, lazima ule hata siku shemeji akikuona ajue kweli ulikuwa ukitunzwa na mdogo wako."

Wakacheka, Aisha akatoka huku dada yake akimwangalia kwa nyuma na kusema moyoni…
"We cheza na mume tu, siku moja utajikuta unalia kilio cha mbwa, mdomo juu, masikio walu, mjini hapa! Ohoo!"

Aisha alikwenda kubadili nguo, alipotoka alikaa sebuleni na mumewe Beka wakizungumza na mambo mawili matatu kisha akaenda jikoni kuanza maandalizi ya chakula cha jioni.

***
Kule chumbani, baada ya kuondoka Aisha, dada mtu aliwaza kitu…
"Hivi, mimi na shemeji tutamaliza salama kweli? Mbona kama viashiria fulani si vizuri? Ina maana na yeye…mh! haya, tupo hapa," alisema moyoni akiwa amekaa kitandani na kujiinamia kwa mawazo…
"Lakini kwa mfano sasa, imetokea mambo yamekwenda mwisho wake yamekuwa mambo, itakuaje? Nikubali? Noo! Siwezi kumkubalia shemeji yangu, yule ni mume wa mdogo wangu wa damu moja…

"Lakini sasa anamtesa mumewe, anamnyima haki yake ya ndoa, anasema mpaka apende yeye, ikitokea akapenda mume yeye hataki majanga."

***
Jikoni na sebuleni ni mbali kidogo, dada mtu alitoka chumbani kwake akaenda kuungana na mdogo wake jikoni kwa ajili ya maandalizi ya chakula.

Ndipo alipokumbuka kwamba, aliahidi kutoa namba yake ya simu kwa shemejiye, hivyo akaenda chumbani kwake na kuchukua kalamu na karatasi akaiandika namba hiyo na kukikunja kile kikaratasi na kutembea nacho hadi sebuleni, akamtupia shemeji yake na kuondoka zake kurudi jikoni.

"Majangaa…majangaa…mbona majangaaa…mbona majangaa…," aliimba dada mtu huyo, mdogo wake akapokea…

"Ndoa nifunge mimi, fungate niende mimi, mume umchukue wewee…kuolewa niolewe mimi, mahari nitolewe mimi, mume uite wewe," alidakia Aisha huku akicheka…
"Majangaa…majangaa…mbona majangaa," aliendelea kuimba dada mtu kwenye eneo la kibwagizo cha wimbo huo kisha wote wakacheka sana, ghafla dada mtu akasema...
Inaendeleeaaaa..........
 
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-4
ILIPOISHIA
"Majangaa…majangaa…mbona majangaa," aliendelea kuimba dada mtu kwenye eneo la kibwagizo cha wimbo huo, kisha wote wakacheka sana, ghafla dada mtu akasema...
SASA ENDELEA….

"Nikwambie kitu mdogo wangu?"
"Niambie."
"Unajua umepata bahati sana kuolewa, mshukuru Mungu kwa sababu heshima ya mwanamke ni kuolewa na si kufanya kazi. Hata kule nyumbani kijijini we unajua, msichana kukaa kwao mpaka umri unapita ni aibu, ndiyo maana wengi hujikuta wakiingia hata kwenye ndoa isiyo sahihi ilimradi aonekane ameolewa."

"Unaposema ndoa siyo sahihi unamaanisha nini dada?"
"Namaanisha msichana anatoka nyumbani kwenda kuishi kwa mwanaume bila ndoa wala mahari. Au msichana anaamua kuzaa ili mwanaume amchukue wakaishi wote."
Aisha alihema kwa nguvu kwanza kisha akamwangalia dada yake huyo na kusema…
"Mimi binafsi sijapenda kuolewa."

"He! Unatania au uko siriasi mdogo wangu?"
"Niko siriasi."
"Kwa nini?"

"Sipendi mambo ya kuombana unyumba usiku wakati watu tunataka kulala."
"Unamaanisha nini?"
"Namaanisha kwamba, kuwa huru ni vizuri sana kuliko kuwa na mume."
"Kwa hiyo unaombea ndoa yako ife hata leo?"

"Siwezi kusema hivyo kwani kama ulivyosema ndoa ni heshima katika jamii. Mwanamke hata ukiwa na fedha vipi, kama huna mume huna heshima. Tofauti na mwanaume, anaweza kuwa tajiri akawa hana mke lakini jamii inampa heshima yake kama kawaida."
"Mh! Leo umeniambia jambo zito sana mdogo wangu, kwamba hupendi mambo ya kuombana unyumba? Sasa mwenzio aende wapi?"
"Asiende kokote, avumilie hadi mimi nipende."
"Hata kama mwezi?"

"Hata miezi miwili mpaka mitatu."
"Sijapata kuona."

***
Wakati wa kula, dada ake Aisha akaanza…
"Mke wangu leo chakula kizuri sana, daa!"
"Umeona kazi yangu mume wangu, ni kitamu eee?"
"Kwa kweli ni kitamu sana mke wangu, natamani usiondoke hapa nyumbani."
"Mbona nimefika mume wangu. Wewe tu unitunze."
"Nitakutunza hadi kifo."
"Eee, safi sana."

"Sasa nisipokutunza wewe nani mwingine mke wangu?"
"Hakuna, mimi ndiyo mama watoto wako. Na mimi nakuahidi kukutii."
"Umeonaee?"

"Basi mpeane vyote, maana vingine Beka hapati kwa wakati anaotaka yeye," Aisha alidakia kwa sauti iliyojaa mikato. Kwa mbali mazungumzo hayo hakuyapenda, baadhi ya vipengele kama…
"Kwa kweli ni kitamu sana mke wangu, natamani usiondoke hapa nyumbani."
Aisha aliumia kwa sababu ni kweli chakula kile alikipika dada yake huyo kwa hiyo alihisi wivu kwa sababu nadra sana mume wake kumsifia yeye na kwa vile mumewe hakujua nani amekipika ina maana aliona tofauti ya siku zote na siku hiyo.

"He! Yamekuwa hayo mdogo wangu?" dada mtu alishangaa, moyoni alicheka kusikia mdogo wake amekiongea kitu cha kweli kwa vile alishatoka kumwambia muda mfupi nyuma.
"Mimi sijawahi kusifiwa, leo wewe umesifiwa."
"Jamani! Kwani kosa liko wapi?"
"Hakuna kosa dada, wala mimi sikulaumu wewe, namshangaa shemejio kutowahi kusifia chakula cha kukipika mimi hata siku moja."
"Sasa nitakisifia wakati hakina sababu ya kupewa hiyo sifa?" alidakia Beka huku akiachia tabasamu lililojaa kejeli kwa mbali.

"Una maana siwezi kupika?"
"Siyo kwamba huwezi, bali hujui. Kuweza unaweza."
Aisha alipandisha hasira, alitamani asimame na kumnyanyua mume wake hadi chumbani ili akamweleze vizuri…

"Una maana gani?" aliuliza Aisha.
"Nina maana kwamba, hujui nini kikianza chakula kitakuwa na ladha fulani, si ajabu unaanza kukaanga chumvi badala ya vitunguu kisha nyanya."
Aisha alinawa maji kabla hajashiba kisha akatoka kwenye meza ya chakula.
"Aisha," aliita dada mtu.

"Nimeshiba, nyie kuleni tu, si mke na mume bwana," alijibu Aisha huku akienda kukaa kwenye sofa na kuangalia tivii. Chaneli hazikuwa zinapanda kichwani lakini ilimradi tu.
Dada mtu na shemeji yake waliangaliana kwa macho yenye maswali na kicheko lakini hakuna aliyetoa sauti kwa mwenzake. Mwisho dada mtu huyo akamminyia jicho moja shemejiye, naye akaangalia chini ili kujizuia asicheke.

Beka naye aliamua kunawa, akatoka kwenda chumbani ambako aliamua kupanda kitandani ili kuusaka usingizi lakini kabla haujampata, meseji iliingia kwenye simu yake ikitoka kwa shemeji mtu…
"Unalo hilo shemeji, amenunaje hapa!"
Beka alicheka, akajibu…

"Sina hofu sana maana najua wewe upo."
"Mh! Na mimi nakwenda kujilalia zangu."
"Kalale, lakini kabla hujalala nitumie meseji moja nzurinzuri ili na mimi nilale vizuri kama wewe."
"Poa shem."

Baada ya nusu saa, kweli meseji iliingia kwenye simu ya Beka kutoka kwa shemeji yake…
"Mimi nalala mume wangu, lala salama na wewe, nakupenda sana mkeo."
"Nakupenda pia mumeo, natamani ningelala na wewe."
"Ha! Ha! Huna ubavu huo utabaki kutamani kama ulivyosema."
"Naweza kujilipua."
"Kivipi?"

"Kuna kichwakichwa."
"Ukimaanisha?"
"Nikimaanisha ajue asijue."
"Wewee. Huwezi."

"Unabisha nije?"
"Sibishi bwana, usije ukaja kweli ikawa noma."
"Mi hamnazo unajua."
"Teh! Teh!"
 
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-5

ILIPOISHIA
"Unabisha nije?"
"Sibishi bwana, usije ukaja kweli ikawa noma."
"Mi hamnazo unajua."
JIACHIE MWENYEWE


Aisha alijiambia moyoni kwamba hatakwenda kulala hadi ashikwe na usingizi sana ili akifika kitandani iwe ni kujitupa tu, puu! Mpaka kunakucha! Hataki kushikwa wala kupapaswa…
"Akirogwa kutaka kunishika ole wake, nitamtukana mpaka akome," alisema moyoni Aisha huku akianza kusinzia kwa mbali.

***
Ilikuwa saa kumi na moja alfajiri, Beka alishtuka kutoka usingizini na kukuta mkewe amelala eneo lake. Alitoka kitandani akiwa ndani ya bukta na kufungua mlango, akatoka sebuleni.
Alikaa kwa muda, alipotupia macho saa ya ukutani na kubaini ni saa kumi na moja na dakika kumi na tano, alisimama, akatembea hadi kwenye chumba alicholala shemeji yake, alisukuma mlango akabaini ulifungwa kwa ndani.

Beka aligonga kwa mbali huku akihisi kibaridi ambacho kilimpiga mwilini hivyo kuhitaji sana joto la mwanamke na mwanamke mwenyewe si mke wake kwani alijua mkewe angemkatalia tu.
Dada wa Aisha kwa sababu alishaamka usingizini, kilichokuwa kimebaki ni kutoka kitandani tu, aliweza kusikia mlango ukigongwa kwa mbali, akashtuka…
"He! Atakuwa nani huyo?" alijiuliza.

Alitoka kitandani, akataka kuuliza kwa sauti we nani lakini akili ilimwambia anaweza kuwa mume wa mdogo wake, kwa hiyo kama atauliza atasikika.
Alifungua mlango, akasimama akiwa nusu ndani, nusu nje…
"Vipi shemeji?" aliuliza dada mtu huyo kwa sauti ya chini.
Kwa Beka sauti hiyo ilikuwa tamu sana kwani aliamini kwamba kitendo cha kujibiwa kwa sauti ya chini ni ishara ya kukubaliana na faragha…

"Poa vipi, umeshaamka?" aliuliza Beka swali lenye jibu hata kabla hajajibiwa…
"Nimeamka ndiyo," alikubali dada mtu huku moyoni akisema…
"Ningekuwa sijaamka ningekuja kufungua mlango? Na wewe shemeji bwana maswali yako."
"Vipi, naweza kuingia?"
"Ha! Uingie halafu akijua?"
"Amelala na yule ninavyomjua kuamka kwake saa mbili asubuhi."
"Mh! Shemeji lakini wewe, huogopi kabisa?" dada mtu alihoji lakini huku na yeye akipigwa na kibaridi ambacho alijua kingetoka kwa njia ya kushikwashikwa na mwanaume kama Beka achilia mbali mume wake.

Alijikuta akiuachia mlango ili Beka apite, akapita hadi chumbani na kukaa kitandani. Dada mtu huyo alikuwa akitetemeka mwili lakini pia alisisimkwa kwani uhitaji wa mahaba ulipanda kwa kiwango cha juu kwa wakati huo.

"Sasa shemu tusipoteze muda bwana," alisema Beka huku akivua bukta yake na kuitupa chini.
Dada mtu alipolala alikuwa amejifunga kanga moja tu kwa hiyo hakuwa na sababu ya kujichojoa sana, aliifungua kwenye upindo mmoja na kuitupia kanga juu ya kitanda.

Beka alipanda kitandani, dada mtu naye alishapanda. Wote walikuwa juu ya kitanda, Beka alipeleka mkono kwa mara ya kwanza kwenye mwili wa dada mtu, akaungwa mkono.
Kwa sababu ya kuiba, haraka ilikuwa inatakiwa hivyo hawakuchelewa, wakaingia uwanjani. Ni kweli kila mmoja alikuwa na siku nyingi za uhaba wa mapenzi kwa hiyo walipoanza mechi tu, msisimko ulikuwa mkubwa sana, ilikuwa ni uwezo wa kipekee kwa dada mtu kujizuia asipige kelele kwani vigezo vyote vya kufanya hivyo alikuwa navyo.

Hata wakati dada mtu huyo anafika juu ya kilele cha mlima waliokuwa wakiupanda, Beka alijua kwa jinsi alivyong'ang'aniwa kwa kubanwa kwa nguvu zote.
Hata yeye Beka alipokuwa anafika kwenye ncha ya kilele hicho, alimbana sana dada mtu hivyo naye akawa amewakilisha tukio bila maneno wala sauti.

Hakuwa na sababu ya kuendelea kufanya shoo juu ya kitanda hicho kwani wote walijiridhisha, sasa nini tena walikuwa wakikitaka? Maana kama ni fumanizi halikutokea! Beka alitoka kitandani, akavaa bukta na kutimua zake kurudi chumbani.
Jua lilitoka, Aisha aliamka na kutoka kabisa chumbani. Alikwenda nje na kukutana na dada yake…
"Shikamoo dada."

"Marahaba, umeamkaje mdogo wangu?" aliitikia dada mtu huku akikimbiza uso pembeni ili wasionane kwa usaliti alioufanya na mume wake usiku uliopita.

"
Nimeamka poa tu. Dada nisamehe sana kwa jana usiku, si nia yangu dada angu. Unajua nilikasirika kwa sababu ni kweli shemeji yako hajawahi kunisifia hata siku moja na mimi kama mimi najisikia vibaya sana."

"Mimi mbona nimekuelewa mdogo wangu wala usijali. Atajirekebisha tu."
Pitapita ziliendelea, sasa ikawa dada mtu akimwangalia mdogo wake anajisikia aibu lakini moyoni anajipongeza kwa kitendo cha kukata kiu na shemeji yake…
"Lakini kama ni kosa analo mwenyewe Aisha, yeye kumnyima unyumba mume wake anatarajia nini hasa, yule ni mwanaume, ana matamanio kama binadamu. Ni upuuzi wa hali ya juu, mumeo kabisa eti unamkatalia tendo la ndoa."

***
Usiku wa siku hiyo wakati wa mlo wa usiku, watatu hao walikuwa wamekaa kwenye meza ndani ya chumba cha chakula.

Beka hakuwa msemaji sana, ni kama shemeji yake tu, naye hakuwa msemaji kama siku nyingine. Hali hiyo ilimshangaza sana Aisha kwani kwa anavyojua yeye, mumewe ana mathulubu sana kwa dada yake. Mara amwite mke, mara asimfie, mara amponde kuhusu kuachika kwa mume wake, ilimradi.

Kumbe wakati Aisha akijiuliza hivyo, wenzake miguu chini ya meza ilikiwa ikiwasiliana ile mbaya. Miguu ya dada mtu ilipanda hadi karibu na magoti ya Beka naye akarudishia. Ilikuwa kama wanacheza, kama Aisha angeona mioyo ya wawili hao angegundua ni jinsi gani walivyokuwa na amani ya kitendo chao hicho cha kupandishiana miguu.

Ilikuwa kitendo cha kufumba na kufumbua, Aisha aliinamisha kichwa na kuchungulia chini kama mtu aliyeona kitu kisichokuwa cha kawaida.
 
MH! MISSED CALL YA SHEMEJI!-6
ILIPOISHIA
Wenzake miguu chini ya meza ilikuwa ikiwasiliana ile mbaya, miguu ya dada mtu ilipanda hadi karibu ya magoti ya Beka, naye akarudishia
ilikuwa kama wanacheza. Kitendo cha kufumba na kufumbua Aisha aliinamisha kichwa na kuchungulia chini. Dondoka nayo...


Wote walishtuka kwa kitendo cha Aisha kuchungulia chini, wakajibalaguza na kujifanya na wao wameshtuka kwa sababu yake…

"Vipi mwenzetu?" aliuliza Beka huku akimwangalia shemeji yake badala ya aliyekuwa akimuuliza.
"Hamna kitu, nimehisi naguswa na mguu wa mtu."
"Utakuwa mguu wa nani?" aliuliza dada mtu huku akionesha kuhofia.
"Sijamjua."

Kwa namna moja au nyingine, Aisha ni kama alishtuka. Alihisi kuna kilichokuwa kikiendelea kwenye miguu ya watu wawili hao.
"Au wanachezeana miguu nini?" alijiuliza Aisha.

Siku hiyo ilipita bila Beka na shemeji yake kukutana wala kutumiana meseji, ingawa kila mmoja alimtamani mwenzake kwamba wangekuwa pamoja.
Dada wa Aisha aliamini kule kufuatwa chumbani alfajiri ilikuwa sawa na kuonjeshwa nyama bila supu yake, alitamani kukutana na shemeji yake

huyo lakini nje ya nyumba hiyo ili aweze kufaidi nyama na supu yake moja kwa moja.
kwa upande mwingine, aliamini anatenda uovu mkubwa kwa kutembea na mume wa mdogo wake akasema moyoni…

"Lakini sasa nitafanyaje na mimi ni binadamu, natamani, napenda, nahisi na nataka kama yeye…
"Isitoshe mambo mengine anayasababisha mwenyewe Aisha, miaka ya sasa ni ya kumnyima unyumba mwanaume kweli? Maana mji kama huu wa Dar esSalaam kuna wanawake wa kila umbile, rangi, mwendo, mikogo. Unaweza kujikuta unampoteza hivihivi unaona."

Siku ya tatu yake, Beka akiwa njiani kurejea nyumbani kwake alitumiwa meseji na shemeji yake…
"Jamani shemeji mbona kimya sana?"
"Mimi wewe shemeji?"
"Wewe bwana."

"Wewe hapo bwana."
"Tuyaache hayo, uko wapi muda huu?"
"Njiani."
"Kwenda wapi?"
"Ndiyo nakuja."

"Je, nikisema usije nyumbani ili tukutane mahali hukohuko, maana leo nimekukumbuka sana, utakubali?"
Ilikuwa kama bahati njema kwa Beka kwani hata yeye alisema moyoni kwamba lazima siku hiyo amalize kiu yake kwa shemeji yake huyo…
"Wewe tu, mimi niko sawa. Mdogo wako amerudi?"
"Bado."

"Sasa utaondokaje?"
"Nitamtumia meseji."
"Kwamba unakwenda wapi?"
"Kusuka."

"Atakuelewa?"
"Juu yake bwana, kwani mi mtoto wake?"
"Basi njoo hadi mahali panaitwa Sakafuni Gesti."
"Mh!Ndiyo wapi hapo?"

"Ukiwa unakwenda stendi. ulipokuja siku ile lazima ulipitia hapa."
"Oke, nakuja. nikipotea nitakwambia. Chukua chumba kabisa. Siyo nifike hapo ning'aeng'ae macho tu."

Dada mtu huyo alijiandaa kwa kuoga na kuvaa kwa mtoko ambapo alifunga mlango na funguo kuziweka chini ya kapeti mlangoni, akatimka huku

akiangalia kona zote kama Aisha atatokea na kuvuruga dili lake…
"Asije akatokea huyu fisadi wa mapenzi dili likafa bure," alisema moyoni akikaribia barabarani.
Aisha alipofika nyumbani alishangaa sana kutokumkuta dada yake…
"Khaaa! Huyu atakuwa amekwenda wapi tena, mbona hatujaambiana sasa?" alijiuliza mwenyewe Aisha.

alimpigia simu mume wake ili kumwambia kituko hicho cha dada yake kuondoka bila kusema wakati si mwenyeji kwenye Jiji la Dar.
"Haya, mke mwenzio anapiga sasa," alisema Beka akimwangalia shemeji yake.
"Pokea halafu weka loud speaker.'
"Haloo."

"Baby maajabu ya mwaka nimeyakuta hapa home."
"Yapi tena?"
"Shemeji yako kafunga mlango kaondoka."
"Kaenda wapi?" alihoji Beka huku akimshikashika wowowo shemeji yake ndani ya chumba cha gesti huku akionekana hana wasiwasi wowote ule, ndiyo

muda wake wa kufaidi matunda mawili kutoka kwenye mti mmoja uliomea kwenye mbolea.
"Sijui, hata funguo sijui kaiweka wapi!"

"Au ameenda kijijini kwa kutoroka?" aliuliza Beka…
"Kisa cha kutoroka asiage kiwe nini? Wala hajaondoka, si ajabu yupo kwenye michepuko yake na nina wasiwasi ameachika kwa mumewe kwa sababu

hiyohiyo ya michepuko."
"Inawezekana,"
Beka alishtukia ameporwa simu na shemeji yake, ikaanguka chini…
"Hawezi kunitukana namna hii, mimi nachepuka mimi? Mkeo amenikosea sana tena sana, aniombe radhi kabla jua halijazama,"

Beka aliogopa sana kwani aliamini kitendo cha kuporwa simu na kuanguka chini kisha shemeji mtu huyo kusema kitakuwa kimejulikana kwa mkewe,

Aisha…
"Khaa!" alishangaa Beka na kujikuta ameirukia lakini kumbe ilipoanguka ilitawanyika kava na betri.
"Khaa! Huyu vipi, kapata ajali au?" alijiuliza Aisha kule upande wa pili baada ya simu ya mumewe kukata ghafla na pia akawa hapatikani.

"Tena tumalize mambo yetu ndiyo uwashe hiyo simu yako," alisema shemeji huyo akimwambia Beka aliyekuwa bado kwenye mshangao mkubwa.
"Tena umwambie mke wako kwamba ilikuwa nikuache siku mbili hizi na yeye ili afaidi lakini sasa sikuachii ng'oo mpaka ajute kuzaliwa na mimitumbo moja."

"Yaishe baby, achana naye yule."
Ili kumkomoa mdogo wake, shemeji huyo alisimama katikati ya chumba na kuvua nguo zake zote kisha akawa kama alivyozaliwa mbele ya shemeji

yake akijitingishatingisha, akapanda kitandani na kumvuta shemeji yake, Beka ili naye apande…
"Tena leo utainjoi sana kuliko kule chumbani. kila hatua nitakuwa nahakikisha inakuwa kisasi kwa mkeo, malaya mkubwa yule, anataka kucheza na mimi mtoto wa mjini siyo."
"Shemeji usimtukane hivyo mdogo wako, hata mimi naumia sasa," alisema Beka.
"Njoo bwana shemejim ndiyo mida yenyewe hii ya kujifaidi."
Ni kweli dada mtu huyo aliamua kusaliti kikwelikweli kwani hata mapigo yenyewe kwa shemeji yake siku hiyo yalikuwa ya kushangaza, kuna wakati

alionesha dalili za kupanda kwenye ukuta.
Aisha alitaka kuingia ndani akampigia simu dada yake lakini haikupokelewa.
 
Tutaendelea saa mbili...............
 
Back
Top Bottom