Miss World na uhalisia, Kamati ya miss Tanzania wanacho cha kujifunza?

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
7,484
5,142
Wakuu heshima kwenu.

Kwa mara ya kwanza nimeamua kuangalia mashindano ya Miss World lengo likiwa kujua ni wasichana wa aina gani wanaenda huko na vitu gani hasa wanavipa kipaumbele. Ukweli usiopingika ni kwamba shindano hili limejikita sana kwenye personal abilities mfano talents, uwezo wa kufanya kwa vitendo matendo ya kuhudumia watu/jamii wanaokuzunguka/inayokuzunguka au unaowawakilisha (huduma kwa nchi yako), practical problem solving skills, namna mrembo ameinspire vijana wenzake (kwa vitendo) na kwenye uwezo wa kujieleza.

Ni beauty with purpose na talents. Physical appearance imechukua nafasi ndogo sana. (mfano Miss sudan kusini wa mwaka huu alikuwa ni kama mbutananga kabisa ila alifika top 10, kenya alikuwa wa kawaida pia ila top 10 alifika kwa kujihusisha na kuihudumia jamii) Hii imenifanya kuyathamini mashindano haya kutokana na kwamba kumbe nchi ikiwa na muwakilishi mwenye upeo na sifa husika anaweza kuibadilisha jamii kwa kiwango kikubwa sana kwani kuna kampuni kubwa nyuma yake inayomuwezesha kufanikisha haya.

Mfano mzuri ni Miss India wa mwaka 1994 ambaye ameweza kushinda tunzo mbalimbali za kimataifa na kuwezeshwa kutekeleza shuhuli za maendeleo ya jamii kimataifa na kitaifa.

Kulingana na ambavyo haya mashindano yanaendeshwa kitaifa hapa Tanzania kamwe hatutaweza kushinda. hii ni kutokana na ukweli kwamba vigezo vya kimataifa havizingatiwi rushwa imewekwa mbele, wanaangalia zaidi muonekano na si pamoja na upeo wa hali ya juu, hawaangalii mshiriki ameigusa vipi jamii kwa vitendo na talents zake (huenda talents wanaangalia ila si serious sana), shindano linaonekana la kihuni sana kulingana na waandaji kutokuwa serious na kuzingatia maadili ya kazi, na pia kubebana.

Ninakiri kwamba Miss world ni nafasi nyingine ambayo kama Tanzania itaamua kuitumia vizuri uwezekano wa kuchangia kwenye juhudi za kuuondoa umasikini kwa kugusa jamii kubwa ya watanzania unawezekana. Fursa hii itatumika tu pale ambapo kamati ya miss tanzania kuanzia vitongoji itakuwa makini kwenye kuwapata washiriki na kuepukana na vitendo vya rushwa na ukiukwaji wa maadili kwa ujumla.

kama ambavyo diamond anaitangaza tanzania kimuziki, Miss world ni sehemu nyingine ya kuitumia ipasavyo kwani ni njia nyingine tunayoweza kuitumia kugusa jamii na kupunguza umasikini uliokithiri.

Mwisho Mashindano haya sio uhuni (kama ambavyo wengi wanayachukulia) bali waandaaji ndio wanafanya tuyaone ni ya kihuni kwa kutozingatia vigezo.
 
True say.God bless Africa, God bless Tanzania. Watanzania tumeamka kusupport watu wetu.

ujue sapport bila vigezo hatutafika mbali. hata msouth aliyeshinda aliongea kuhusu global health na pia nadhani ana project ya global health pia. kule hakuna mbwembwe ni vitendo. km hufai hufai tu
 
Ni mashindano mazuri. Na sio uhuni na uzinzi na uchafu kama Big brother africa... Nakemea vikali BBA.
miss ajaye ajipange sana. asee zile ishu kule ni za kisomi na sio waliofeli shuleni. vitu wanapresent pale ni vitu pia vinzungumziwa kila siku kwenye mikutano ya kimataifa ya maendeleo ya dunia.
 
Mie sijayafuatilia haya mashindano,ila si nilisikia kwa juuu juu huyu miss tuliyempeleka mwaka huu alishinda sijui mtihani gani world wide,huku si ndio kuinspire watu jamani??au namuongelea miss mwingine??...na pia niliona comments humu miss tanzania anaweza kujieleza.....sasa hizo si ndio personal abilities....lazima tukubali kuna kushindwa pia.......ila next time anayeandaa haya mashindano awe na exposure kidogo...ili asaidie kumentor hao washiriki hata kwa kuformulate projects za uongo lol....inahitaji akili lakini lol
 
Ni kweli kabisa. Kwani atayeenda mwakani si ndio huyu miss wa sasa? Au huwa ni kigezo gani kinatumika
 
hehehe mzungu atakuuliza kuongoza darasani alafu baada ya hapo nini kinafuata? watz wengi tunaishia kwenye makaratasi. niliangalia utube yeye hakugusia jamii kabisa zaidi aligusia beauty (being herself).
 
pale asee hakuna chai kwa kifupi. happy alikuwa bright ila naye mle mle chai nyingi kuliko matendo. eti nimeongoza class /international cambridge alafu ukafanya nini in relation to ur kuongozaring hehe
 
hehehe mzungu atakuuliza kuongoza darasani alafu baada ya hapo nini kinafuata? watz wengi tunaishia kwenye makaratasi. niliangalia utube yeye hakugusia jamii kabisa zaidi aligusia beauty (being herself).

Kuongoza darasani....i meant umempiga msuli thatswhy ukawa ontop...unawa inspire watu especially girls...na hivyo umeigusa jamii....sijamfuatilia zaidi ya kuona coments humu....
 
100 100 mkuu. ila pia alipita kiwoga woga stejini sijui kaliogopa?.
 
Wakuu heshima kwenu.

Kwa mara ya kwanza nimeamua kuangalia mashindano ya Miss World lengo likiwa kujua ni wasichana wa aina gani wanaenda huko na vitu gani hasa wanavipa kipaumbele. Ukweli usiopingika ni kwamba shindano hili limejikita sana kwenye personal abilities mfano talents, uwezo wa kufanya kwa vitendo matendo ya kuhudumia watu/jamii wanaokuzunguka/inayokuzunguka au unaowawakilisha (huduma kwa nchi yako), practical problem solving skills, namna mrembo ameinspire vijana wenzake (kwa vitendo) na kwenye uwezo wa kujieleza. Ni beauty with purpose na talents. Physical appearance imechukua nafasi ndogo sana. (mfano Miss sudan kusini wa mwaka huu alikuwa ni kama mbutananga kabisa ila alifika top 10, kenya alikuwa wa kawaida pia ila top 10 alifika kwa kujihusisha na kuihudumia jamii)Hii imenifanya kuyathamini mashindano haya kutokana na kwamba kumbe nchi ikiwa na muwakilishi mwenye upeo na sifa husika anaweza kuibadilisha jamii kwa kiwango kikubwa sana kwani kuna kampuni kubwa nyuma yake inayomuwezesha kufanikisha haya. mfano mzuri ni Miss India wa mwaka 1994 ambaye ameweza kushinda tunzo mbalimbali za kimataifa na kuwezeshwa kutekeleza shuhuli za maendeleo ya jamii kimataifa na kitaifa.
Kulingana na ambavyo haya mashindano yanaendeshwa kitaifa hapa tanzania kamwe hatutaweza kushinda. hii ni kutokana na ukweli kwamba vigezo vya kimataifa havizingatiwi rushwa imewekwa mbele, wanaangalia zaidi muonekano na si pamoja na upeo wa hali ya juu, hawaangalii mshiriki ameigusa vipi jamii kwa vitendo na talents zake (huenda talents wanaangalia ila si serious sana), shindano linaonekana la kihuni sana kulingana na waandaji kutokuwa serious na kuzingatia maadili ya kazi, na pia kubebana.

Ninakiri kwamba Miss world ni nafasi nyingine ambayo kama Tanzania itaamua kuitumia vizuri uwezekano wa kuchangia kwenye juhudi za kuuondoa umasikini kwa kugusa jamii kubwa ya watanzania unawezekana. Fursa hii itatumika tu pale ambapo kamati ya miss tanzania kuanzia vitongoji itakuwa makini kwenye kuwapata washiriki na kuepukana na vitendo vya rushwa na ukiukwaji wa maadili kwa ujumla.
kama ambavyo diamond anaitangaza tanzania kimuziki, Miss world ni sehemu nyingine ya kuitumia ipasavyo kwani ni njia nyingine tunayoweza kuitumia kugusa jamii na kupunguza umasikini uliokithiri.
Mwisho Mashindano haya sio uhuni(kama ambavyo wengi wanayachukulia) bali waandaaji ndio wanafanya tuyaone ni ya kihuni kwa kutozingatia vigezo.
Idah Nguma Profile Page

Profile Picture
224_546a302e0d8d1.jpg

My Background
First Name:Idah
Last Name:Nguma
Residing County:Machakos
Residing Country:Kenya
Hometown:Tala

Vital Statistics
Age:22
Height:5'7
Bust Size:34
Waist Size:27
Hips Size:36

About Me
High School:Machakos girls high school
Year of High School Completion:2009
University / College:Kenyatta University
Languages Spoken:English,swahili,kamba
Company / Employer:N/A
Previous Pageant Name:Miss Tourism2013
Hobbies and Interests:Traveling,Networking and voluntary service
Career:Marketing student
Previous Achievements:1st Runners Miss Tourism Machakos county.
Future Ambition:Winning Miss World Kenya and integrating it with my marketing career and corporate social responsibility to help achieve individual and communal growth for sustainable development
Career Ambition:Completing my Marketing degree and opening my own marketing consulting firm
Self Description:I am a self-driven go getter,a creative thinker who is always in the spirit of pursuit;a people's person.To me everyday is an experience.
Personal Motto:To whom much is given,much is expected.

[h=2]Additional Pictures[/h][h=2]Articles[/h][h=2]Forum[/h][h=2]My Videos[/h][h=2]Gallery[/h][h=2]Tagged Images[/h][h=2]Favoured Images[/h][h=2]Gallery Comments[/h]
Picture 1:
cb_picture1_224_546a3048540b8.jpg
Picture 2:
cb_picture2_224_543a4b6c2f672.jpg
Picture 3:
cb_eveninggown_224_5426bb6df30ae.jpg
Picture 4:
cb_swimsuit_224_5426bb6e1c480.jpg
Picture 5:
cb_nationalcostume_224_543a4b6c76fc3.jpg

Miss-World-Tanzania-2014-Happiness-Watimanya.jpg

miss. tanzania
 
Wakuu heshima kwenu.

Kwa mara ya kwanza nimeamua kuangalia mashindano ya Miss World lengo likiwa kujua ni wasichana wa aina gani wanaenda huko na vitu gani hasa wanavipa kipaumbele. Ukweli usiopingika ni kwamba shindano hili limejikita sana kwenye personal abilities mfano talents, uwezo wa kufanya kwa vitendo matendo ya kuhudumia watu/jamii wanaokuzunguka/inayokuzunguka au unaowawakilisha (huduma kwa nchi yako), practical problem solving skills, namna mrembo ameinspire vijana wenzake (kwa vitendo) na kwenye uwezo wa kujieleza. Ni beauty with purpose na talents. Physical appearance imechukua nafasi ndogo sana. (mfano Miss sudan kusini wa mwaka huu alikuwa ni kama mbutananga kabisa ila alifika top 10, kenya alikuwa wa kawaida pia ila top 10 alifika kwa kujihusisha na kuihudumia jamii)Hii imenifanya kuyathamini mashindano haya kutokana na kwamba kumbe nchi ikiwa na muwakilishi mwenye upeo na sifa husika anaweza kuibadilisha jamii kwa kiwango kikubwa sana kwani kuna kampuni kubwa nyuma yake inayomuwezesha kufanikisha haya. mfano mzuri ni Miss India wa mwaka 1994 ambaye ameweza kushinda tunzo mbalimbali za kimataifa na kuwezeshwa kutekeleza shuhuli za maendeleo ya jamii kimataifa na kitaifa.
Kulingana na ambavyo haya mashindano yanaendeshwa kitaifa hapa tanzania kamwe hatutaweza kushinda. hii ni kutokana na ukweli kwamba vigezo vya kimataifa havizingatiwi rushwa imewekwa mbele, wanaangalia zaidi muonekano na si pamoja na upeo wa hali ya juu, hawaangalii mshiriki ameigusa vipi jamii kwa vitendo na talents zake (huenda talents wanaangalia ila si serious sana), shindano linaonekana la kihuni sana kulingana na waandaji kutokuwa serious na kuzingatia maadili ya kazi, na pia kubebana.

Ninakiri kwamba Miss world ni nafasi nyingine ambayo kama Tanzania itaamua kuitumia vizuri uwezekano wa kuchangia kwenye juhudi za kuuondoa umasikini kwa kugusa jamii kubwa ya watanzania unawezekana. Fursa hii itatumika tu pale ambapo kamati ya miss tanzania kuanzia vitongoji itakuwa makini kwenye kuwapata washiriki na kuepukana na vitendo vya rushwa na ukiukwaji wa maadili kwa ujumla.
kama ambavyo diamond anaitangaza tanzania kimuziki, Miss world ni sehemu nyingine ya kuitumia ipasavyo kwani ni njia nyingine tunayoweza kuitumia kugusa jamii na kupunguza umasikini uliokithiri.
Mwisho Mashindano haya sio uhuni(kama ambavyo wengi wanayachukulia) bali waandaaji ndio wanafanya tuyaone ni ya kihuni kwa kutozingatia vigezo.
141214_finalraw_04.jpg
 
final list!!!!!kenya no. 8
NEWS/

Miss World 2014 Winner Is Miss South Africa, Rolene Strauss-See Photos and Find Out Who Else Make the Top 10!

by CORINNE HELLERToday 9:29 AM PST

rs_634x1024-141214094830-634.Miss-World-COmpetition.jl.121414.jpg
LEON NEAL/AFP/Getty Images
And the winner of the 2014 Miss World pageant is....Miss South Africa, Rolene Strauss!
The 22-year-old beauty queen was crowned onstage at the competition's grand final at the Excel London ICC Auditorium on Sunday. Strauss, the daughter of a doctor and nurse, is a fourth-year medical student.
Donning a high, blue and golden jeweled crown and pale pink, off-the-shoulder, romantic-style, cleavage-baring, ruffled evening gown, Strauss waved and smiled at the crowd.

rs_634x1024-141214092757-634.Miss-South-Africa-Miss-World.jl.121414.jpg
LEON NEAL/AFP/Getty Images
There she is! #MissWorld2014 @MWSouthAfrica! pic.twitter.com/TeVjdtzeVV
? Miss South Africa (@Official_MissSA) December 14, 2014
PHOTOS: Most bizarre beauty pageants
Strauss was among 122 contestants who competed for the coveted title this year. During the ceremony, contestants wore colorful costumes representing their countries and territories and several also took part in a group performance of the hit ballad "You Raise Me Up," made famous by Josh Groban.
After she was crowned, the remaining contestants on stage danced to LMFAO's "Party Rock Anthem." Group member Sky Blu, who wore a fairytale prince-like outfit, performed solo.
"Miss World 2014. Put your hands up, ya'll!" he shouted. "Put those hands up! Oh yeah! We love girls all around the world. All around the world, we love girls. I love ya'll."
PHOTOS: Miss World contestants over the years-includes Halle Berry!
The two runners-up were:
2. Hungary: Edina Kulcsár, a former finalist of the 2009 Miss Plastic Hungary beauty pageant. The contest featured contestants who had plastic surgery and aimed to promote the benefits of cosmetic procedures.
3. United States: Elizabeth Safrit, who represented North Carolina at the 2014 Miss United States pageant, has a BA in political science from the University of Southern California and has been dancing since she was little.
The other contestants who made it to the top 10 were:
4. Australia: Courtney Thorpe, a marketing student
5. England: Carina Tyrrell, a med student at the prestigious University of Cambridge.
6. Guyana: Rafieya Husain, a business administration student
7. Brazil: Julia Gama, a chemical engineering student
8. Kenya: Idah Nguma, a marketing executive
9. Mexico: Daniela Álvarez Reyes, Miss Mundo Mexico
10. India: Koyal Rana, NGO and director of the Moksha Foundation
People's Choice winner: Thailand: Nonthawan Nonthawan Thongleng, a singer, TV host and model
141214_finalraw_04.jpg
 
Back
Top Bottom