Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,241
Ndugu WanaJF,
Kunradhi, nimechelewa kupata link ya kumpigia kura, ila kwa vile mchuano bado unaendelea, sina budi kuiweka hapa hata kama hii round ya kwanza imemalizika.
Nimekutana na link kutoka kwenye globu ya kaka Michuzi.
Link ya kumpigia kura Amanda ni hii hapa: http://www.pageant-almanac.com/vote/dcballot.php?poll=mu08r1ame&bb=on
Kusudio langu la kuiweka hapa ni kwamba shindano la Miss Universe 2008 bado linaendelea, hata kama round hizi za kwanza zimetoweka bila kumpigia kura, nina amini kupiga kura bado kunaendelea kulingana na maelezo waliyoyatoa waandaji kwenye website yao kuhusiana na sheria/kanuni za kuwachangua washindi: http://www.missuniverse.com/corpinfo/faq.html. Hivyo basi natumaini bado kutakuwa kunakupiga kura tena hapo mbeleni maana fainali za mchuano ni tarehe 13 July 08.
Ngoja niwaache na tupicha tuwili twa mwakilishi wetu, Amanda Ole Sulul:
Amanda akiwa kwenye evening dress.
Hapa yuko ndani ya 'vasi asilia'
I hope kutakuwa na kupiga kura tena na tutaweza kumpigia kura mwenzetu kumuunga mkono. Mshikamano wetu kwa Flaviana ulizaa matunda, naomba tumpe support pia. Ahsanteni.
SteveD.