Wa katikati ndiye Martha Gewe
Basi uwe unapata uhakika huko huko ulikopata taarifa ili ukija hapa uwe na taarifa kuliko kutujuza huku hata wewe mwenyewe una uhakika. Sasa utaweka wapi sura yako ikiwa bado yuko hai?
Kwa jinsi ulivyokuwa na haraka ya kuanzisha thread ya kifo chake basi ukashindwa haya kutafuta Picha zake ili wasiomfahamu nao wapate kumjua unayemzungumzia, sasa nimeleta picha zake.
Ova