min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,475
- 164,486
Haka ka wimbo huwa kana amsha hamu ya bia sanaWatu weweee, watu wooooh😁
Haka ka wimbo huwa kana amsha hamu ya bia sanaWatu weweee, watu wooooh😁
Dah wajuba kwa kujiamlia mambo hawajaacha! siku nitawaacha midomo wazi kwa kuanika makendre yangu hapa!
Mbegu za fenesi, right?Tupiamo gololi watakata ngebe bwashee
A.k.a, kengele.Mbegu za fenesi, right?
Ukiipata usisite kushare mkuu!Huyu seran anapendwa na wengi sana hapa jf hivi nini Siri yake
🤣Aka, kengele.
We tulia tu!Tupiamo gololi watakata ngebe bwashee
Mtatafutana humu! 😎Watu weweee, watu wooooh😁
sio kucheza?Haka ka wimbo huwa kana amsha hamu ya bia sana
Adili na nduguze ,the three lions, ukitupiamo unawakata ngebeWe tulia tu!
Kubambia😆sio kucheza?
KABISA!Adili na nduguze ,the three lions, ukitupiamo unawakata ngebe
Ivi vijamaa mwishowe vitakupiga mashineKazi kweli! siku nami nijizime fiber nipende id ya mtu..
Umenikumbusha kitambo shuleni, kwenye bugie wakaka wanakomalia kubambia wadada, basi wadada wengi walikuwa wanamind kichiz! 😅Kubambia😆
Vinakaribishwa sana!Ivi vijamaa mwishowe vitakupiga mashine
😆😆 mimi nauzee wangu bado napenda hilo vibe etiUmenikumbusha kitambo shuleni, kwenye bugie wakaka wanakomalia kubambia wadada, basi wadada wengi walikuwa wanamind kichiz! 😅