Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,573
- 83,094
Yani sipendi, unacheza na mtu vizuri tu anadindisha😣😆😆 mimi nauzee wangu bado napenda hilo vibe eti
Yani sipendi, unacheza na mtu vizuri tu anadindisha😣😆😆 mimi nauzee wangu bado napenda hilo vibe eti
Wasukuma tunahusikaje hapa mkuu!Sehemu yoyote ile kukiwa na concentration kubwa ya wasukuma mambo ya aibu kama haya hayawezi kukosa.
Mimi mwenyewe nataka kumfahamu aisee!Kwani huyu Seran ndio nani?
Mimi ndio kwanza naiona hii ID hapa!
Sio kosa lake ni kosa la abdala kiparaYani sipendi, unacheza na mtu vizuri tu anadindisha😣
Seran unaitwa huku.Nakukubali sana mrembo SERAN
Shenzi kabisa, unajua mna have fun kumbe limtu linaku undress psychologically😠Sio kosa lake ni kosa la abdala kipara
Huyo jamaa huwa anaakili yake anajitegemea 😁Shenzi kabisa, unajua mna have fun kumbe limtu linaku undress psychologically😠
Huku kwetu nyasubi ndani ndani vijana wana tabia kama hizi ila wakichanganyikana na makabila mengine hivi vijitabia vinapotea.Wasukuma tunahusikaje hapa mkuu!
😅😅😅Shenzi kabisa, unajua mna have fun kumbe limtu linaku undress psychologically😠
Duh bora kumkata kichwa kabisa asiharibu starehe za watu!Huyo jamaa huwa anaakili yake anajitegemea 😁
hahaa anza nawewe kwa kuchanganya na warangi kuokoa jahazi!Huku kwetu nyasubi ndani ndani vijana wana tabia kama hizi ila wakichanganyikana na makabila mengine hivi vijitabia vinapotea.
Nipo wewe ndio umepotea madam.Missed you! ulipotelea wapi mkuu?
Dah wajuba kwa kujiamlia mambo hawajaacha! siku nitawaacha midomo wazi kwa kuanika makendre yangu hapa! 😎
Napoteaje secretay wa jfNipo wewe ndio umepotea madam.
mimi mwenyewe naitafuta, naona hakunielewa badala aelekezee kwenye pesa anaelekeza jf😣Naomba namba ya Mganga wako!
mimi mwenyewe naitafuta, naona hakunielewa badala aelekezee kwenye pesa anaelekeza jf😣