min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,585
- 164,826
Ulimtapeli😁mimi mwenyewe naitafuta, naona hakunielewa badala aelekezee kwenye pesa anaelekeza jf😣
Ulimtapeli😁mimi mwenyewe naitafuta, naona hakunielewa badala aelekezee kwenye pesa anaelekeza jf😣
Mganga wangu ni Mungu tu! na wanaonichukia wapo wengi tu kwahiyo si mbaya vijana wakajifaragua kidogo! 😅Watu wanakupenda! Hivi vikumbo sio vya kawaida. Muongezee dau Mganga wako. 😊
wala hata!Ulimtapeli😁
Ukute hata hapo alipo muda huu tayari keshajiamulia mambo, aibu ataona nani vile😌!Yani sipendi, unacheza na mtu vizuri tu anadindisha😣
ivo ivoo, mshangaz kapendwa kama alivyoHahahah ni ujinga wao wenyewe, warembo kibao humu mtu anahangaika na mshangazi!
Ni kasheshe! aibu utaona wewe!Ukute hata hapo alipo muda huu tayari keshajiamulia mambo, aibu ataona nani vile😌!
Mitoto isiyo radhi!ivo ivoo, mshangaz kapendwa kama alivyo
Mganga wangu ni Mungu tu! na wanaonichukia wapo wengi tu kwahiyo si mbaya vijana wakajifaragua kidogo! 😅
Hahahah ni ujinga wao wenyewe, warembo kibao humu mtu anahangaika na mshangazi!
unamuelewaje mtu humjui?Sio "kujifaragua" vijana wana kuelewa!
Nani anakuchukia?
Unaweza kuta ni mtu mmoja!Hivi vijana mkiona hii mnaichukulia kama hamasa au !View attachment 3627590
Washindane kwa vibunda tu mkuu!😂Alafu humu ndani humu...
Sasa nina mpango wa kufungulia uzi watu wote wanao mkubari seran alafu nawaweka humo waanze kushindana kutema swaga.. sasa ole wenu mzingue
Tushavuka huko sie, tumewaachia gen z wachachafyane!Kwani mashangazi hawatakiwi kupendwa? 😊