Miss tz no3 jiandae almasi atakupitia.

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Dogo hafai anapiga kwa series.Kaanza no1 kaja 2 nadhani mnafahamu namba inayofuata.
 
watajirusha sana na mwisho wataanguka...si mnakumbuka enzi za kina JUMA NATURE, MR. NICE na wengineo? mwache asifiche hivyo visent vyake aendelee kuvitumbua na makahaba akidhani wakati unamsubiri!
 
wachaaa dogoo aoshee rungu....hakunaa mapenziii yalee ya kugandanaaaa....tukipenda tunamalizanaa leo leo tu!!!
 
No. 3 si mtoto Lisa Jensen ambaye kauza sura katika ngoma yake ya Mawazo!!!!!
 
ni wkt wake sasa kulipiza enzi zile anashindia chai na ki2mbua ki1 pale kwa mtogole alikua akisoma kwenye magazeti kakazake walivyokuwa wanavinjari na warembo so nayeye anaonyesha ukidume wake na kma ujuavyo waTz 2na kamsemo UKIZIPATA ZI2MIE UKIZIKOSA ZIJUTIE simtabirii mabaya ila wkt ni ukuta cku c nyingi atalia na kujuta.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom