Miss Tanzania ifutwe

Miss Tanzania ifutwe

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,753
Hivi faida ya miss tanzania ni nini?
Nimejaribu kufikiri nimeshindwa
Sioni faida ila naona kama ni ujanja janja wa watu wa mjini tu hapa wakiongozwa na lundenga
 
Ni moja ya sanaa ambayo ni nzuri labda ungezungumzia tatizo katika uendeshaji wake na utamaduni unaozunguka sanaa hiyo kwa ujumla ikiwa ni pamoja na mavazi yao. Lakini kama kasoro hizo zikirekebishwa, miss Tanzania aweza kutuwakilisha na kuitangaza nchi yetu vizuri!
 
Mie naiona kama kiwanda cha kuproduce warembo wapya kwaajil ya mapedeshee wa mjini!
Hivi faida ya miss tanzania ni nini?
Nimejaribu kufikiri nimeshindwa
Sioni faida ila naona kama ni ujanja janja wa watu wa mjini tu hapa wakiongozwa na lundenga
 
hatutaweza kushinda miss world hata siku moja kwa sababu kwanza mi naona jinsi miaka inavyozidi kwenda ndio tunavozidi kuona miss tanzania wanavozidi kua wabaya na kutokua na kiwango kinachostahili kuwakilisha tanzania..ukiangalia vigezo vya kua miss world kwa sisi tanzania hatuna hata kigezo kimoja..na bongo hapa wengine ndio hivyo mpaka watembee na majaji ndio wapate bahati ya kushinda...am not a fan of it na siwezi kupoteza my precious time kwenda kuwaangalia wakijipitisha kwenye stage
 
Mie naiona kama kiwanda cha kuproduce warembo wapya kwaajil ya mapedeshee wa mjini!

wakifuta miss tz, waifute na miss chitchat na urudishe vocha ya lundenga hahahaa (jokes) yan kama upo mawazon mwangu, nilîvyosoma heading nami nikafikiria vivyo hivyo!
 
Hivi faida ya miss tanzania ni nini?
Nimejaribu kufikiri nimeshindwa
Sioni faida ila naona kama ni ujanja janja wa watu wa mjini tu hapa wakiongozwa na lundenga

Ni kiwanda cha kutengeneza viburudisho vya wakubwa na wenye pesa Nchini Tanzania
 
Malay.a Wapya Manufacturing Industry

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna m2 mmoja ambaye jina nimemsahau kidogo, huyu jamaa alikuja na Miss Tourism, hii kidogo ilileta hamasa kwa wadau na ilionekana tishio kwa miss ya braza Lundenga. Hivi mashindano haya yamefia wapi mbona yalikuwa yana2tangaza vzr kiutalii?
 
Mtayarishaji wa miss Tourism hakuwa na mtaji ndio maana hata kujitangaza yeye mwenyewe bado ni shida.Alianza kama mjasiliamali.
 
Mkuu sasa kuanza kufuta vitu ambavyo wewe huvipendi si itakuwa kuingilia uhuru wa wanaovipenda ?

Nadhani chaguo ni lako either uchague kuitazama au kutokuitazama ila kuiondoa je wanayoipenda itakuwaje ?
 
Hahahahah miss cc iendelee 2 bana
wakifuta miss tz, waifute na miss chitchat na urudishe vocha ya lundenga hahahaa (jokes) yan kama upo mawazon mwangu, nilîvyosoma heading nami nikafikiria vivyo hivyo!
 
Mtayarishaji wa miss Tourism hakuwa na mtaji ndio maana hata kujitangaza yeye mwenyewe bado ni shida.Alianza kama mjasiliamali.

Ahsante kw kunijurisha hilo, lkn kwann Wizara ya Utalii isimwezeshe au kwao haina maslahi?
 
Hivi kwa nini inatayarishwa na Lundenga na kampuni yake alafu inaitwa Miss Tanzania, nani alimpa madaraka ya kuchuja na kusema huyu ndio miss Tanzania, kwanini isifanywe na serekali kupitia wizara ndio iwe representative kiuhalisia? Why Lundenga?
 
Ahsante kw kunijurisha hilo, lkn kwann Wizara ya Utalii isimwezeshe au kwao haina maslahi?

siku zote Serikalini kunakosekana Mipango mkakati wa kimasoko[marketing strategic plan],na kama wazo hilo likitolewa hautaendelea katika nafasi yako.Na nafasi za watu wenye maamuzi wanafanya mambo yao,kusafiri sana lakini hakuna mrejesho,hata kuongea na media wanaogopa.!!!.
Unajua tuna maeneo mengi ya vivutio vya utalii;lakini kila siku utasikia wanatangaza maeneo yaleyale ambayo tayari yanajulikana(kilimanjaro,serengeti,ngorongoro),maeneo mengine katika nchi wameyaacha.
 
Crown haikuwepo,kali zaidi zawadi NOAH? Miss Tz zawadi NOAH¿¡
 
Haina haja ya kuifuta, hii kitu inajifuta yenyewe.
Ukifanya uchunguzi utagundua hii kitu inapoteza umaarufu hapa nchini taratibu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Keeps people employed:

1) Organisers/waandaji (akina Lundega. His company employs people, right?)
2) Event coordinators (nao wana-engage service providers wengine kama suppliers wa vinywaji na vitafunwa ambao huwa wanaajiri watu, right?)
3) MCs (nao wanaajiri watu, vyombo vyao vina-undergo tear & wear inabidi wanunue kutoka kwa wauzaji ambao they keep people employed, right?)
4) Media (need say any more about employment here?)
5) Waburudishaji (wakina Diamond, wanenguaji, etc - hizi ni ajira, right?)
etc, etc

Kweli, miss tz inapoteza umaarufu. Imekua kitu cha kawaida na ndani ya miaka kadhaa itapotea kabisa. Kwa mfano mimi jana ndio nilikumbuka kua kuna miss tz, wakati zamani nilikua na count days left
 
Back
Top Bottom