Miss Tanzania ifutwe

Miss Tanzania ifutwe

Hivi faida ya miss tanzania ni nini?
Nimejaribu kufikiri nimeshindwa
Sioni faida ila naona kama ni ujanja janja wa watu wa mjini tu hapa wakiongozwa na lundenga

Kama hauna sababu za msingi bora upige kimya...wacha watu wajipatie pesa za chee kwa wadhamini...ndio maana unaona ipo ipo tuuu....
 
Back
Top Bottom