Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,849
Huyu SITI ABBAS MTEMVU aliyeshinda jana kuwa Miss Tanzania sikutarajia kabisa, mi nilimkubali sana yule binti wa mwisho aliyejibu swali lililohusu Family planning, sijui huwa wanaangalia nini hasahasa kwa sababu huyu Binti wa MTEMVU alipoteza confidence wakati akijibu maswali lakini baadae akajibu tena kwa kifaransa swali hilo hilo lkn hata shape haikunivutia na hata akicheka meno yake yana mwonekano ambao si mzuri kivile.
Sasa mi najiuliza huwa wanaangalia nini hasa?
Sasa mi najiuliza huwa wanaangalia nini hasa?