Miss Tanzania 2012

mkurugenzi1

Senior Member
Mar 22, 2009
122
28
Hivi haya mashindano ya mwaka huu yamekosa mvuto au waandishi wameamua kuyapotezea?

wale washiriki tuliokuwa tuna wasika miss kilimanjaro na wengineo watashiriki mashindano ya miss tanzania ipi?
 
..hahahahahaha..mwaka huu kimya kimya..juzi alichaguliwa Lisa Jensen,kuwakilisha Nchi katika Miss world...ila Miss Tanzania kamili inakuja...na sasa wako katika Vitongoji..

...Mdau Mkuu..
 
hata mi sielewi najua miss dar city centre inakuja...so the real miss tanzania ya kwenda miss world nadhani bado au nimekosea
 
Back
Top Bottom