Mzozo wa Mizozo
JF-Expert Member
- May 26, 2008
- 426
- 12
Haya ni madai tu na wala si ushahidi. Lete ushahidi kuthibitisha kuwa unao uwezo wa kuona malengo ya mamiss toka ndani ya mioyo yao. Ukiweza kuthibitisha hilo nitakuamini.
Nadhani unataka kunipa uwezo wa Kimungu.
Nipe definition ya CD unayiona ni sahihi na ya kuaminika ili nijue kama kuna faida kuendelea kujengana ktk hili.
Definition ya CD? nikifupisha ntakwambia ni mwanamke ambaye anaamua kutumia mwili wake kama kitega uchumi, kama njia ya kujipatia kipato!