Miss Tanzania 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe amejaaliwa mapacha...

Status
Not open for further replies.
Duh! Hongera zake mwana wa Kigoma, mi namaindi mapacha!..... niulize jamani, hivi kaolewa au ni mapacha wa gesti?
 
hongera zake lakini heeee.chichemi mie,maana huyo ni sawa na baba yake.ama kweli ukiwa na hela,unaopoa yoyote yule,haijalishi ana umri gani.ila namuhisi huyu dada ametulia.
 
Hongera Jack, hope utakuwa mama mzuri kwa watoto wako
 
Hongera zake kwa kutumia uzuri wake vizuri kwa kuaga umaskini.La sivyo angeangukia kwenye mikono ya diamond aka sukari ya mabinti
 
Kuolewa na tajiri haimaanishi umeaga umasikini. Mali atazionaga tu na vihela vya kwenda dubai ila kodi atakuta kalipiwa, kila kitu kinalipwa juu kwa juu hukamati hata mia acha kabisa matajiri tena wa kichaga anajua alikopata hela!!!! Na ana watoto wakubwa tayari wanasimamia miradi, hapo aombe Mungu tu!!!

Hata hivyo wanawake wazuri hapa mjini asilimia kubwa huwa wanaishia kuwa nyumba ndogo that is from my experience maana huwa wanajifanya kuchagua wanaume mwishowe wanakosa soko na kumegwa na vibabu. Sasa mtoto mzuri vile na kile kibabu wapi na wapi? Sijui yale ma-nose alikuwa anampeng'esha makamasi? Babu ana miaka sitini leo ana mapacha, miafrika bana ikiwa na hela tabu tupu, yani kwa exposure yote hiyo.
 
huyu mzee ni mtu anayejihesgimu na ndiomaana anaamua kuwa na mmojasi kama wengune wanaibia kila kona
 
Kuolewa na tajiri haimaanishi umeaga umasikini. Mali atazionaga tu na vihela vya kwenda dubai ila kodi atakuta kalipiwa, kila kitu kinalipwa juu kwa juu hukamati hata mia acha kabisa matajiri tena wa kichaga anajua alikopata hela!!!! Na ana watoto wakubwa tayari wanasimamia miradi, hapo aombe Mungu tu!!!

Hata hivyo wanawake wazuri hapa mjini asilimia kubwa huwa wanaishia kuwa nyumba ndogo that is from my experience maana huwa wanajifanya kuchagua wanaume mwishowe wanakosa soko na kumegwa na vibabu. Sasa mtoto mzuri vile na kile kibabu wapi na wapi? Sijui yale ma-nose alikuwa anampeng'esha makamasi? Babu ana miaka sitini leo ana mapacha, miafrika bana ikiwa na hela tabu tupu, yani kwa exposure yote hiyo.

Mkuu Bondpost, Age aint nothing but a number ...Kina Larry King (70+) mbona wazungu na bado wanazaa...acha Klynn aanze kula pensheni zake
 
JF mwanzo mwisho.

Ama mnajua kutunga watu majina

Machache, Nyepesi, Marope...hakuna alonitafsiria...ila mmenifanya niumize kichwa mwisho nimeishia kucheka...natafuta mmbongo nimsimulie tusaidiane kucheka...maana kucheka peke yangu hainogi.
 
Mkuu Bondpost, Age aint nothing but a number ...Kina Larry King (70+) mbona wazungu na bado wanazaa...acha Klynn aanze kula pensheni zake

Sawa! Larry King anaweza kuwa mmoja kati ya wazungu ma-hopeless tu! Kina Obama, Bush, Bill Clinton, Bill Gates, Prince Charles etc mbona hawaiga?
Unazaa na kibabu ili ule pensheni? Wanajikuta na madereva wao maana huduma ya kibabu ni nadra na ukichukulia kipo busy balaa!
 
mdingi anashabaha mbaya kabisa . hiyo inaitwa mbili bila lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom