mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 322
huyu dada ana miaka 25 au kuendelea. anaonekana kabisa mifupa yote imeshajiorganize katika mwili wake.

Nimependa avator yako mumyyyyyyyy
mwenye picha yake plizzzz
Umeona eee! tumwone plz
18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age
Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age
Minus 7yrs primary education = 0yrs of age
Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age
Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age
So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa
Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
Tatizo ni Ubinafsi kila kitu mpate nyie tu mpaka mnafoji vigezo , Famiilia zenu Tayari Mboga saba , Mmesoma na kutalii Nje ya Nchi , Hivi Vingine Mngewaachia wahangaikaji wa huku tu , Nyie Mkaendelea na uwekezaji wa Mahousegirl Dubai lol ! Miss France atakuwa na 26 to 29 haiwezekani kundi la chagabibi awe na Rafiki wa miaka 18-20 wakati yeye mwenyewe ni 30+
Kweli kabisa uselfish umewajaa
mpaka miaka wanafoji
yaani ana umri hasi kaaa
kuna kurushwa madarasa ww. Labda ni jiniaz18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age
Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age
Minus 7yrs primary education = 0yrs of age
Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age
Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age
So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa
Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
18yrs of age
Minus 2yrs masters 3yrs bachelor = 13yrs of age
Minus 6yrs secondary education = 7yrs of age
Minus 7yrs primary education = 0yrs of age
Minus 2yrs nursery school = -2yrs of age
Minus 3yrs ya kugrow at hom kabla ya nursery xcul = -5 yrs of age
So ur friend jus conjured a new miracle,, alianza kusoma 5yrs kabla hajazaliwa
Huyo ni Miss Tz wetuuu...
Bado tu wanamwandama miss tz
Kwan ni mtoto wa mtemvu mbunge?
Anaitwa Sitti Abbas Mtemvu Sasa Connect Dots Mwenyewe.
wangefanyiwa born marrow tu hao wasinge danganya
miaka yao...sema wanapenda sana kuonekana watoto, leo mtu akipata nafasi amuulize miaka ya wema sepetu atakuambia ana miaka 23 kwikwikwikwi