Miss Kinondoni 2009

We Yo Yo, si umemgeukia Sir God juzi juzi hapa ....vipi yameshakushinda mkuu?......NN alikuonya hukumsikia ona sasa....bado udenda unakutoka...ha!ha!ha!
mungu kasema tupendane..nami nawapenda nyoote na huyu binti.....
 
Picture+402.jpg

Shem ile department nyingine mbona hatujaonyeshwa? Siwezi kutoa kura bila walau kuiona!
Shem lakni ukiangalia vizuri mkono uliposhika kiuno yaelekea kuna ka mlima fulani kametuna hapo nyuma.....
shem unaniambiaje hicho kidole alinachouma......?
 
Shem lakni ukiangalia vizuri mkono uliposhika kiuno yaelekea kuna ka mlima fulani kametuna hapo nyuma.....
shem unaniambiaje hicho kidole alinachouma......?

Komredi hiyo inaitwa utamu wa kujing'ata kidole...uchokozi kabisa huo!
 
Mr kiroboto, picha mbona zinafunguka vizuri tu computer yako ina virus nn! Unakosa uhondo kama ndo hivyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom