Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Shangazi acha fujo. Mimi niliomba nikuoe ukajibu ushaolewa huna haja na ndoa inakaribia miaka 40.Mimi nimejitoa nabaki kuzungusha shingo na macho kiaina.
 
Vijana hawajitokezi. Wanaogopa watapigwa baridi ya kichwa kwa kuunda mahusiano na "msichana mzee"!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekupenda sana mtoa mada hujali matusi yao lakini umewapa kile roho inapenda yaani ndio nzuri sana kabisa na enjoy kuona unavyowaonyesha kuwa wewe ni mtu mzima na unajitambua.
 
Na sisi wajukuu tunaruhusiwa..?? Bibi cheka nini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…