Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,018
- 16,120
- Thread starter
- #21
mkuu hawa walikuwa wana qualify kwa miss Tanganyika enzi zileeeeeee!Wengine wamegoma kujitokeza labda....Kwani huwa hakuna angalau vigezo vya kuanzia ili ambao hawajafikia hapo wasichukuliwe kushiriki? Hata kwenye kazi huwa kuna pa kuanzia kuwa mwenye masters, degree etc etc....