Miss Iringa

Miss Iringa

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,971
Reaction score
16,021
eti hawa ndo warembo wanaoshiriki miss iringa!huenda miss Tanzania akatokea kwenye kundi hili...
117.jpg
 
311.jpg

kwa washiriki wa haiba hii tutaendelea kuwa wasindikizaji miss world haki ya nani!!
 
77.jpg

Ha!huu mgongo sijui umepinda au ni pozi!!
 
binafsi ningependa kama camera 360 ingekuhusika!
 
Kama hawa ndo warembo Iringa nzima sasa Lundenga yeye afanyeje?!!
 
sasa hawajitokezi,shindano lifungwe?naamini kuna wanavyuo waukweli ale lkn wameona mashindano haya hayana tija zaidi kupoteza muda kuuza sura tu.
 
Wengine wamegoma kujitokeza labda....Kwani huwa hakuna angalau vigezo vya kuanzia ili ambao hawajafikia hapo wasichukuliwe kushiriki? Hata kwenye kazi huwa kuna pa kuanzia kuwa mwenye masters, degree etc etc....
 
ningekuwa mm ndo mtoa vigezo hapo kuna mmoja tu wa kushiriki japo napo kwa kumfumbia macho!
 
binafsi ningependa kama camera 360 ingekuhusika!

Duh nlienda VIP club kwenye utambulisho wa Miss Iringa ilikua ijumaa nikabaki mdomo wazi,tatizo hata waliopewa jukumu la kuwafundisha ni magmashi tu hawa bora Iringa isipeleke mshiriki watakua wamefeli kishujaa.
 
huwa wanaangalia vitu gani kwenye hayo mashindano??? Please nisaidieni mawazo
 
Duh nlienda VIP club kwenye utambulisho wa Miss Iringa ilikua ijumaa nikabaki mdomo wazi,tatizo hata waliopewa jukumu la kuwafundisha ni magmashi tu hawa bora Iringa isipeleke mshiriki watakua wamefeli kishujaa.
mkuu hebu tuambie wenyeji walikuwa wanasemaje kuhusu hao washindani!...wanatarajia miss tanzania toka huko?!
 
Back
Top Bottom