figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,635
- 62,518
Andika tu kiswahili.
Umeboronga hapo duuuhhh..
Anyway hopefully ujumbe wako umefika.
I love afrodenzi tangu kitambo sana. Hujambo Mama? Mia
Last edited by a moderator:
Andika tu kiswahili.
Umeboronga hapo duuuhhh..
Anyway hopefully ujumbe wako umefika.
Mie nitakuwa pale marangu mtoni please msiniache
miss chagga nadhani na signature yako imesaidia pia!! So tutamchagisha mtu au??
Dahhhhh kitambo sijakutia machoni..
Mi mzima kabisa my dear.
Vipi wewe??
into pm?,..hii lugha ukajipange tena,demu atakukataa
Mi nipo poa sana. Naangalia hapa vijana wanavyo tongozana. Wengine tushang'oka meno ya kuvunja mifupa..hahaaaa!!. Mia
Hahahaaa! Siku hizi ni maswali na majibu ya papo kwa papo lol. Baadae jioni tutafutane tupige stori, nikisahau unikumbushe!. Bye!:yo:Hahahahaha siku hizi ni mambo ya kutafuta
Wachumba online kipindi chetu tulikuwa tunaviziwa tukuenda kuchota
Maji korongoni.
Miaka imebadilika kwa kweli..
Mi nipo poa sana. Naangalia hapa vijana wanavyo tongozana. Wengine tushang'oka meno ya kuvunja mifupa..hahaaaa!!. Mia
hahahahaha siku hizi ni mambo ya kutafuta
wachumba online kipindi chetu tulikuwa tunaviziwa tukuenda kuchota
maji korongoni.
Miaka imebadilika kwa kweli..
Alafu miss chaga unapendwa unaonekana mzuri kweli hebu rusha picha nikuone kidogo
Eeeeh nitafurahi.....japo sitakupenda
ha ha ha ha ha ha ha okey that gooodddddddddddd goder .......... ha ha ha a ha ha life is full of adventures let me explore..