miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
For real?? Haya mapenzi yaacheni yaitwe mapenzi tu.. Maana hadi jina limedhihirisha hilo,, ubaya sidhani kama atakujibu maana umekosea target ya majira (mwezi) aisee.. Kwa taarifa yako tupo naye huku Kilema chini kama unampenda kweli njoo pande hizi!! me ntakusaidia kumwita kwaajili yako...
Cc. miss chagga
Yani nilikiwa chini ya mikahawa nikaitwa kwa nguvu zote loh nimefika hapa nakutana na upendo.huu aisee i love miss chagga
Last edited by a moderator: