Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,553
Akili zako sawa tu na Shyma, wauza ndizi hawakumfundisha jinsi ya kula, na hakuuliza inaliwaje.Akili zao zinafanana na serikali ya Tanzania. Basi wawakamate na wauza ndizi wote, maana wao ndio waliomuuzia.