Misosi ya Forodhani Zanzibar.

Yah!!!! Uko sahihi nakuunga mkoNO 100% yalishawahi kunikuta hapo kilichofuata nilikua napiga rapid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vile vyakula mkuu ni vya muda mrefu na sidhani kama wana FIFO!
 
Hivi kwa Dar imeshindikana kitu gani kuwa na kitu kama hii? Bahari ipo lakini tunafanya nyama choma festival tu kwa kuiga Nairobi na mnadani Dom au kwa Mrombo Arusha ambao hawana bahari.
Kama pale Coco beach badala ya mihogo pekeyake ingewekwa na sea food kama hii.
 
Furs hiyo mkuu. mpe kijana mtaji upige business. unaweza ukawa unapiga hela ndefu sana wikiendi.
 
Wallah hupafamu. Forodhani weye...ikifika saa tano hutapata chakula labda juice muwa. Wanzanzibar ni wachache hupika jioni wengine wote ndo maeneo ya Utakuta familia nzima wanakamua urojo forodhani.
 
kama unabisha basi sikulazimishi
 
Mkuu nakuunga mkono 100% kwa watu ambao hawajui seafood ndio wanalishwa sana viporo pale forodhani...
 
Wallah hupafamu. Forodhani weye...ikifika saa tano hutapata chakula labda juice muwa. Wanzanzibar ni wachache hupika jioni wengine wote ndo maeneo ya Utakuta familia nzima wanakamua urojo forodhani.
Usitumie jina la mungu bure,na kuapa apa hovyohovyo,mi nimezaliwa na kukulia unguja Forodhani ipi unayozungumzia wewe?hapo opposite na house of wonder?zmani kulikuwa na blues restaurant?aliyepanjenga unavyopaona sasa hivi ni Aghakan,na Gapco iliyojidai inajenga ile blues tena ni" Hapa pangu"ile Restaurant inapigwa vita sana maana ikifunguliwa restaurant zote maeneo ya pale kina moonsoon haipati wateja bora mtu asubiri nusu saa ili ale pale!Vyakula vinakuwa frozen vikibaki hata mara kumi!na sio pale tu sehemu zote vanazopika vyakula vya bites jioni!
 
Wallah hupafamu. Forodhani weye...ikifika saa tano hutapata chakula labda juice muwa. Wanzanzibar ni wachache hupika jioni wengine wote ndo maeneo ya Utakuta familia nzima wanakamua urojo forodhani.
Nani mkwel sasa
 
Yah!!!! Uko sahihi nakuunga mkoNO 100% yalishawahi kunikuta hapo kilichofuata nilikua napiga rapid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ulijisaidia kimiminika kwa mwendo kasi au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…