Forodhani kiuzuri ndio nakubali ni pazuri hasa nyakati za usikuhata hapo Forodhani sijawahi fika. harafu @hancemtanashati toka ubadili jina na avatar unajidai kauzu
Usidanganye watu kuhusu majini,umeyaona?kwa muonekano kweli usiku ni pazuri na ile food display inapapendezesha,the only shida ni kwamba hivi vyakula vinabaki vingi na wanarudisha wanavifreeze tena na tena kila vinapobaki.Hakitupwai kitu,kwa hyo huwezi kupta fresh food utakula ma vyakula hata ya mwezi.Najuawa watakuja wapingaji wengi lakini kuna siku utakula masamaki mabovu,na hakuna kitu very poisonous kwenye chakula(yaani food poisoning kama seefood items)Forodhani kiuzuri ndio nakubali ni pazuri hasa nyakati za usiku
Pia inasemekana kuna majini nao wapo maeneo hayo hivyo si wote wanaopika na kununua ni binadamu wenzako ,kuwa makini sana ukiwa hapo
Na mwisho msinifananishe na huyo boya wenu
Mbona ipo mkuu, angalia vizurMbona hakuna ile nyama pendwa ya white meat.
mh aisee tumbo halichoki na huenda ni kwa kuwa halina mdomo
Yah! Nimeiona hapo ila nikaogopa kuuliza kama macho yangu yapo sahihiMbona ipo mkuu, angalia vizur
Yah!!!! Uko sahihi nakuunga mkoNO 100% yalishawahi kunikuta hapo kilichofuata nilikua napiga rapid[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usidanganye watu kuhusu majini,umeyaona?kwa muonekano kweli usiku ni pazuri na ile food display inapapendezesha,the only shida ni kwamba hivi vyakula vinabaki vingi na wanarudisha wanavifreeze tena na tena kila vinapobaki.Hakitupwai kitu,kwa hyo huwezi kupta fresh food utakula ma vyakula hata ya mwezi.Najuawa watakuja wapingaji wengi lakini kuna siku utakula masamaki mabovu,na hakuna kitu very poisonous kwenye chakula(yaani food poisoning kama seefood items)