Hapo umenena kuweka udhaifu wa mwenzio hadharani ni hatari hata humu JF ni hadharani kuzisema humu hautatofautiana na wale wanaosema huko vijiweni
Amen.......... Mwenyezimungu atuangazie
hahahahahahahha ndugu yangu sungura1980 haya mambo ya ndoa yangu nani kakwambia uyavujishe mtaani pasipo ruhusa yangu. Baba mkubwa Kaizer naomba uchukue disciplinary measures kwa huyu bwana mdogoMunkari yupo ndoani,mumewe naye yumo humu JF anaitwa Mokoyo,mara ya mwisho alikuwa anafanya kazi Sudan lakini kwa sasa yupo hapa bongo kila siku anatembea na kikopo,watu wanasema ni tindikali ila mi sina uhakika na hilo.Baba mkubwa Kaizer alisema eti pia ana mguu wa kuku,kwa hiyo ukitaka aku Ufosaro endelea tu mkuu!
munkari uko ndoani au we kungwi? vigezo vyote ninavyo naomba nikuone kama bado uko single.
hahahahahahahha ndugu yangu sungura1980 haya mambo ya ndoa yangu nani kakwambia uyavujishe mtaani pasipo ruhusa yangu. Baba mkubwa Kaizer naomba uchukue disciplinary measures kwa huyu bwana mdogo