Tetesi: Mishahara ya watumisi mwezi Juni kulipwa Julai 3

Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.

Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.

Wanaowasikiliza nao wamelia kwa uchungu. Serikali chukueni hatua kuwaokoa Watanzania na maumivu haya makali

Makojo
Chombo gani kinatujadili ndg? Wapi? Na kwa dhamira gani?
Ni vyema kutoa taarifa inayoeleweka, osiyo na upotoshaji
 
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.

Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.

Wanaowasikiliza nao wamelia kwa uchungu. Serikali chukueni hatua kuwaokoa Watanzania na maumivu haya makali

Makojo
Sasa inahusiana vipi na amani ya Nchi yetu
 
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.

Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.

Wanaowasikiliza nao wamelia kwa uchungu. Serikali chukueni hatua kuwaokoa Watanzania na maumivu haya makali

Makojo
Kwani mkopo wa Iraq haujafika
 
Maumivu ya Mbinyo wa Mabeberu yameanza kutufinya.

Hapo ndo kwanza wanatujadali. Leo wamemsikiliza Mke wa Tundu Lissu na baadaye dada wa Humphrey Polepole.

Wanaowasikiliza nao wamelia kwa uchungu. Serikali chukueni hatua kuwaokoa Watanzania na maumivu haya makali

Makojo
Ila mitandaoni mtu anaweza akaamua tu aandike ussenge wake kwa sababu tu ana ki bundle chake cha kuandikia mambo ya kijinga.
 
Back
Top Bottom