Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,657
- 55,923
Hayo hayo lakini yako mengi sanaMadhirika unamaanisha TANESCO NHC n.k?
Hayo hayo lakini yako mengi sanaMadhirika unamaanisha TANESCO NHC n.k?
Unafumukiwa mar.... Nd wewe siyo bureKweli nyie ni vichaa.
Serikali hii bora ya Samia inaweza kujiongoza pasi na msaada wa mabeberu.
Ni serikali pekee tangu nchi hii ipate uhuru kuwa na pesa nyingi na uchumi stable.
Hata hiyo 1/3 nayo kaifanyia jambo kwenye kausha damu.Mungu na wanadamu!Hahaaa ndio hivyo, si kwamba anapenda! Hapo stress kibao anazo, ikichagizwa unakuta anapokea 1/3 hapo akulipe, ada, kodi, bili, avae, n.k utakopwa tena tu...
Walim na maness wa upe.... Kwamba huyo bibi yenu abinywe kisididi chake vizuri wewe na kimshahara chako utalipwa trh 40.Mishahara haihusiani na hizo mambo!