Mishahara ya walimu juu

Hiyo E1 na F1 mbona ni ndogo.Kwa sasa E1 ni sh.720,000. na F1 ni sh.930,000.Sasa inamaana mishahara itapungua?.

Afadhali umenisaidia kusema....i was puzzled nanikawa sielewi mantiki ya mshara huku umepungua..
 
Kila jambo lina majira na wakati wake kwani mwisho wa mwezi ni mbaliiii!tutaona tu
 
Hata mimi nimeongea na mtumishi mmoja wa Halmashauri ya mkoani Njombe, ameniambia ni kweli. Ila sikukumbuka kumuuliza kuhusu nakisi ya F1 (itayotarajiwa) na F1 ya sasa.
Chonde chonde Waalimu msianze kukopa, kisha ikawa 'changa la macho', kwa kuwa japokuwa unaanza mwezi Julai, watumishi wote watapaswa kubadilishiwa mfumo, na hii ni baada ya wao kupeleka vyeti (hususani wale ambao hawajapeleka vyeti vya Elimu zao) .
 
Unaposema mishahara juu una maana gani

Unadhani hivyo viwango vitamaliza matatizo?
Jaribuni kuwa wakweli si porojo tu,serikali
hapo inataka kuwapumbaza ili yale ya msingi
msidai kamwe.


Najua baada ya malipo hayo lazima mtadai
maana huwa pesa haijai ndoo
 
kwani wao sio walimu??

unachangia nini ssa kama hujui tofauti ya mwalimu na afsa elimu? wengi hamjui mwalimu si afsa elimu. shule za msingi

walimu ndio wanapatikana huko, akipata daraja la juu anakuwa afsa elimu. sekondary wote ni maafsa elimu elewa hivyo
 
.waraka no m/d20/cl524....... Yah.mabadiliko ya muundo wa utumishi na madaraja kwa waalimu. ..................waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo certificate wataanza na tgts d1=532450 diploma tgts e1=692741 digree tgts f1=852425 ,source halimashauri zote tanzania,ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.


nina mashaka na waraka wako huo
 
waraka huu cyo kweli mkuu, ingekua kweli lazima tungepata source ya kweli. na umeona bajet ya mwaka huu wameongeza asilimia ngapi ktk elimu ?
 
Hivi mleta mada unahisi mishahara ya walimu ikiongezwa itaongeza pia kiwango cha kufaulu kwa wanafunzi?
 
Back
Top Bottom