Mishahara ya walimu juu

Mipale Steve

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
384
43
.WARAKA NO M/D20/CL524....... YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU. ..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo certificate wataanza na Tgts D1=532450 Diploma Tgts E1=692741 Digree Tgts F1=852425 ,Source halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.
 
hiv huu uzushi nani kaanzisha,siku walimu wakienda kwenye ATM wakakuta sivyo, tutegemee misiba mingi
 
.WARAKA NO M/D20/CL524....... YAH.MABADILIKO YA MUUNDO WA UTUMISHI NA MADARAJA KWA WAALIMU. ..................Waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo certificate wataanza na Tgts D1=532450 Diploma Tgts E1=692741 Digree Tgts F1=852425 ,Source halimashauri zote TANZANIA,Ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.
kwa hiyo we umezunguka halmashauri zote Tanzania mpaka ukasema source ni halmashauri zote
 
.waraka no m/d20/cl524....... Yah.mabadiliko ya muundo wa utumishi na madaraja kwa waalimu. ..................waraka huu kuanza kutumika tar 1/7/2013 na sivinginevyo.hakikisha unatoa ushirikiano kwa wahakiki kutoka hazina kuu.muundo mpya utakua kama ifuatavyo certificate wataanza na tgts d1=532450 diploma tgts e1=692741 digree tgts f1=852425 ,source halimashauri zote tanzania,ofisi ndogo za hazina kwenye kila halmashauri,na kwa makatibu tawala wote wa mikoa.

weka huo waraka hapa.NO Research ,NO right to speak/write
 
Hiyo E1 na F1 mbona ni ndogo.Kwa sasa E1 ni sh.720,000. na F1 ni sh.930,000.Sasa inamaana mishahara itapungua?.
 
Nimefuatilia katika halmashauri hakuna huo waraka!Wewe umetoa wapi huo waraka?Hata wizarani nasikia wametoa taarifa walimu wasihadaike na huo waraka feki.Weka link ndo tutakuelewa vizuri!
 
Angalia usije ukatolewa kuxha shauri yako.
 
hujajibu swali, nimeuliza waalimu ni wa msingi na sekondari tu? sijauliza habar ya mshahara

tgts yaani mishahara ndio walimu and vice versa. kwa hiyo alichokujibu mkuu ni sahihi kwani kuna walimu wa diploma na digrii ambao wapo msingi hivyo walim wanaohusika hapa ni wote hadi ttc walioajiriwa na serikali tu.
 
asante kaka kwa kunisaidia kumwelewesha zaidi.
 
Back
Top Bottom