mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,163
- 787
we fanya kazi kwa bidii mengine baadae
Piga kazi weweee fanya madili mengine piA
mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi
kodi ikipungua, na posho ikawa japo %30 ya mshahara ambao hautakatwa kodi yyt itasaidia
kwa hiyi mshahara wangu wa 532,000 +30%+punguzo la kodi, na nyngeza rasmi ya mshahara katika hali ngumu hii ya maisha kama 80,000
=kuna uwezekano wa mshahara kuwa 830,600/= basic ikikatwa na CWT,NHIF na PAYEE sikosi 700,000