MISHAHARA YA WALIMU ITAKUWA SH NGAPI, anaejua plz

mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi
 
Mkuu punguza munkari kani kwasasa una
pokea kiasi gani jaribu kuweka kiasi chako
ili wajuzi wanaojua waje kukuweka sawa.

Lakini kwaujumla mishahara huwa wakiongeza
unakuta si lolote maana unawezapata nyongeza
5000/-,10000/-,15000/-&20000/-
 
Waalimu msililie nyongeza ya mishahara asahv maana mishahara yenu mbna ni minono tu, la msingi kabisa ni kupigania muwe na posho au rashion mana walimu hamna njia nyngne za kujipatia chochte ktk mazingira ya kazi yn ni mshahara hd mshahara kwahyo posho au rashion ndo lamsingi zaid!
 
kodi ikipungua, na posho ikawa japo %30 ya mshahara ambao hautakatwa kodi yyt itasaidia

kwa hiyi mshahara wangu wa 532,000 +30%+punguzo la kodi, na nyngeza rasmi ya mshahara katika hali ngumu hii ya maisha kama 80,000

=kuna uwezekano wa mshahara kuwa 830,600/= basic ikikatwa na CWT,NHIF na PAYEE sikosi 700,000
 
Hizi Ndoto Za Mchana! Kwa Serikali Gani Upate Mwalimu Uliyedharaulika Mshahara Ya 8036000/=
 
Sikiliza bajeti kuu ya serikali kesho utapata jibu la kuweza kukokotoa. lakini pia ukirejea kwenye signature yako nadhani hata zamani yaani enzi na enzi hakuna aliyekuwa akiuliza mambo ya mshahara iweje leo uanze kuuliza sio wehu kweli?
 
kodi ikipungua, na posho ikawa japo %30 ya mshahara ambao hautakatwa kodi yyt itasaidia

kwa hiyi mshahara wangu wa 532,000 +30%+punguzo la kodi, na nyngeza rasmi ya mshahara katika hali ngumu hii ya maisha kama 80,000

=kuna uwezekano wa mshahara kuwa 830,600/= basic ikikatwa na CWT,NHIF na PAYEE sikosi 700,000

Ha ha ha kaka kweli hesabu kushney,, yaani mshahara wa 830,600 net ije laki 7 kamili.. Kwa mshahara huo net itakuwa lak 6 tu..

Ngoja nikupe siri "Ukitaka kufanya calculation ya net income kirahisi
Huwa inakuwa ni asilimia 73 ya gross package.. Kama unabisha piga mahesabu ya gross yako kama haupati 73 parcent
 
wewe kwa scale hyo ni wa level ya digrii hivyo basi ndo kusema. Kwa hio ongezeko lako litakuwa ni sh 133000
 
kumbe walimu mnapokea pesa nyingi kiasi hiko? daaaah kesho naandamana haiwezekani kwanza nyie saa nne asubuhi tu mmeshaondoka eneo la kazi halafu mnapata pesa zote hzo.
 
Walimu mbona mnalipwa fedha nyingi kiasi hicho? Kwann sasa hamtaki kuwajibika ninyi kila siku kulalama tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom