Mishahara ya Wake Zetu



because they are insecure...hvyo dini imeamua mlinda mapema mke wa ki islam... si ndio??
 
duuuh yaani mwanamke unajenga nyumba kwenu,tena kijijini? mmmh mimi sijengi hata banda la kuku pale ni kwa ndugu zangu wa kiume nitapaeshimu na kwenda pale kama mgeni tu...nitajenga kwa mume ambako ndo sehemu halali ya watoto wangu
Una akili sana weye... na Ndiyo maana huwa nakufagiliaga!!. Ungekuwa karibu "ningekuvuta kwangu, niwe wako milele"
 
because they are insecure...hvyo dini imeamua mlinda mapema mke wa ki islam... si ndio??

kwa kweli sijui sbb, ila hiyo ni amri ya Muumba inayotakiwa kutekelezwa na mume wa kiislamu kwa mkewe..by the way what do you mean by insecure?
 
ish!kwani mlioa mishahara?leo patachimbika hapa ahahahhahahhaha

Tulioa kujenga familia na familia inajengwa na wanandoa! You share whatever you have for the benefit of the family. Sasa wewe kama zako ni zako, basi nami zangu ni zangu, ingawa sio nia ya ndoa kuishi hivyo.
 
Tulioa kujenga familia na familia inajengwa na wanandoa! You share whatever you have for the benefit of the family. Sasa wewe kama zako ni zako, basi nami zangu ni zangu, ingawa sio nia ya ndoa kuishi hivyo.
mwaya mapovu yasikutoke mi ugomvi wangu ni nyie mnaotaka tupige pasu pasu!kwa kweli mi hela yangu isiwe ndo inafanyia kila kitu nyie zenu mkahonge tu,yani hata petrol station mnatulengesha upande wa keshia kha!akhu babu na maua ya kupambia nyumba nayo unataka ninunulie nini?ahahhahahhahhahah leo ndyo leo humu!
 
duuuh yaani mwanamke unajenga nyumba kwenu,tena kijijini? mmmh mimi sijengi hata banda la kuku pale ni kwa ndugu zangu wa kiume nitapaeshimu na kwenda pale kama mgeni tu...nitajenga kwa mume ambako ndo sehemu halali ya watoto wangu

utajenga kwa mume au wewe na mume mnunue kiwanja mmjenge? Ukijenga kijijini kwa mume si garantii kuwa hiyo nyumba wanao watairithi. Kuwa makini
 

hahaha snowhite unanipa raha!
 
Last edited by a moderator:

Hii nimeipenda,however,siku hizi kuna wanawake wana mishahara mikubwa zaidi ya waume zao so sio mbaya kuchangia majukumu ya nyumbani.Ila ndio baba asijisahau
 

usemacho ni kweli, kinachowafanya wanawake wasipende kuchangia ni hicho, yeye ajinyime ili msonge mbele, mume amjengee nyumba ndogo hekalu
 
Reality no 1. Pesa za mume ni za wote. Za mke ni za kwake na anachangia pale inapolazimu tena vitu vidogovidogo!!! Reality no. 2 Kwa upande mwingine pesa za mume ni zake na vimada na nyumbani ni kidogo na akishatoa anasepa hadi mwezi uishe na za mke ni za wote!! Reality no. 3 Na upande mwingine ambao ni wachache, pesa tuweke pamoja tuamue matumizi kwa kugawa mara tatu, Investments, Consumption, Savings ina maana kuwa Y= C+S+I, where Y = total income, S= Savings for contigencies (liquid asset) and I = investments in Fixed assets. Hii aina ya tatu ya familia huwa ina mafanikio makubwa sana. Ila trust ya hali ya juu inahitajika hasa kwa wanaume maana wanawake wanachukizwa sana na tabia za waume zao kutumia hela ya familia kwa matumizi mabaya kama ulevi kupindukia na uzinzi. Kwa stahili hii imefanya wanawake wengi wafiche hela zao!!!
 
usemacho ni kweli, kinachowafanya wanawake wasipende kuchangia ni hicho, yeye ajinyime ili msonge mbele, mume amjengee nyumba ndogo hekalu

umeona enh?mi ndo hapo wanaponikera sikatai kuchangia majukumu lakini na wao wanatubore tunapowaachia loop hole tu,wengi wao wanamalizia hela kwa vishtobe,sasa mi nijibane nisinunue maorzon suit yangu navaa mikplini,ili tumalizie mjengo ye pesa yako kugawa offer bar,akha mwenzangu!si bora nikuchune mie wa halali!ahahahahhahahhah leo nitabondwaje hapa! BADILI TABIA uniokoe yakinizidi ahahhahhah!
 
Wanaume mkiwa makini mnaweza kumfanya mwanamke asisite kutumia pesa yake yote kwenye family bila matatizo, mambo yenu ndo yametutoa nguvu, hayo mambo ya kuhonga nyumba ndogo, watoto wa nje rundo, kila kona wadaiwa pesa ya matumizi. Unafikiri nani anaweza kuukubali ujinga huo......

Au eti tujenge pamoja leo na kesho, mambo yameharibika share yangu naipata wapi hapo ushamwingiza bibi mwengine analalia jasho langu. Jamani mlishawaliza wengi tu naona sasa mambo ni bora yawe hivyo tu.....maana hamaminiki.
 
bullshit! kuna siku nilishangaa sana, wife aliniomba nauli kwenda kazini na ilikuwa tarehe km5 hivi na ilikuwa siku 3 tu baada ya kupata mshahara wake! nilimshangaa mwili mzima. mshahara wake anafanyia nini hata nauli nimpe mimi?
 
Ndoa yangu bado changa,we share everything we earn......ngojea labda huko mbele inaweza kubadilika.....LOL
 
Mishahara yenu! Basi mrudi kwenu mkale mishahara yenu!

Kwetu sirudi,na utaishia kusikia tu kama huwa ninapata mshahara!Kwani wewe si ndo uliyenitoa kwa wazazi wangu tena kwa kiapo cha kunituza na kuniangalia mpaka kifo kitutenganishe?Mimi nina kazi moja tu ya kukupenda na kukuheshimu.Na heshima itakuwa juu zaidi pale utakapotoa matumizi makubwa zaidi.!lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…