Mishahara ya SUMATRA kufuru

TCRA
LATRA
EWURA
TRA
TCU
NSSF
 
Millioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako
Mkuu naomba kuwasiliana nawewe
Pm haifunguki 0769442907
 
Tunambeza tu mtoa mada ila Kwa maisha ya mtanzania hiyo pesa ni NDEFU , imagen mtu analipwa 70k per month na kazi haaich kuamka sa 12 so pow💔🔥
 
Pole sana mkuu
Mkuu hii mi nmeikuta mahali nilipoambiwa wanacholipwa nilichoka, kuliko nilipwe 70 nmeona Bora nilale ntulize akili nipe kibarua mkuu(elimu yangu ni bachelor) ila vyeti tuweke pembeni, Hali ni mbaya usingizi hamna, MAWAZO.
0769442907
 
Mkuu hii mi nmeikuta mahali nilipoambiwa wanacholipwa nilichoka, kuliko nilipwe 70 nmeona Bora nilale ntulize akili nipe kibarua mkuu(elimu yangu ni bachelor) ila vyeti tuweke pembeni, Hali ni mbaya
0769442907
TAKUKURU wametangaza nafasi 500 na mshahara wao ndio km huo anaolalamikia jamaa 1.53M, unakwama wapi?
 
TAKUKURU wametangaza nafasi 500 na mshahara wao ndio km huo anaolalamikia jamaa 1.53M, unakwama wapi?
Nimeona ila CHETI CHA six Sina nadaiwa 2m+(Badal ya kwenda chuo cha kati coz skupata selection NILIPATA mfadhili shule ya private)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…