Millioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako
Mimi napata 6m kwa mwezi wewe unasema 1m?
wakuu,
Hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Sijajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa.
Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.35 kwa mwezi.
Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
anathani aonea mada hii, lakini anashindwa tu, tatizo la kuwa na msimamo wa kulaumu kila jambo.Hahahahaaaa...bila shaka atakuwa ana njaa iliyopitiliza..huwez kushangaa kamshahara hako na kuja na uzi kabisaaaa
Mbona mshahara mdogo sana huo.
Kuna watu nchi hii wanapokea milioni 40 kwa mwezi wameajiriwa.
Mimi napata 6m kwa mwezi wewe unasema 1m?
Wivu wa kike. hoja ni SUMATRA ina umuhimu gani? siyo salary.
cape town jiajiri ujilipe utakavyo