Mishahara ya NSSF

nashangaa kwanini mnamshambulia aliyeleta swali,hiyo ni public company na iko financed na walipa kodi na ni sawa na private company lazima kusema salary za CEOs kwa shareholders wake,sasa kwanini salary & allowances viwe siri? na sio ndio nyie mnashinda humu JF na vuvuzela zenu za kulia ufisadi,kesho mkiambiwa mkurugenzi analipwa allowance ya nyumba na gari inayozidi mishahara ya madaktri 100 combined naomba msilalamike na iendelee kuwa siri..mwenye jibu alete hapa na mjue mishahara & allowances sio siri na shareholders au public wana haki ya kujua kama wana interest na hilo shirika.

Finally kuna mtu aliye na uelewa humu ndani! Kitu nimegundua wengi humu JF ni WASALITI! Wana mioyo ya kifisadi...sasa sijui wanapigania nini. Kuna uwezekano wengi humu wako katika hizi public bodies na wanakomba hela mbaya. Alafu wanajifanya kupiga kelele EPA, nk. Haya ndo yale yale yaliyomkuta Slaa na mishahara ya wabunge! aibu....
 
JF kaazi kweli wakati mwingine. Baada ya posts 28 jamaa hajapata jibu la swali lake la kawaida kabisa alilouliza.:confused2:
 
Kifupi ni kuwa NSSF sasa hivi management kama haipo...Dau yuko likizo aliyemwachia ofisi ambaye ni DHRA ana-shuttle between seminars:Dar-Moro-Dom-Arusha akikusanya per diems na honoraria...bila kushiriki....mishahara ni complicated walio juu wanakula kweli mna walio chini wako hoi...nadhani mto hoja aidha aliataka kujua hili au kutujuza hili...no systems at all....imagine hata interview inafanywa Diamond Jubilee kwa watu 1,000 kuchagua 30 with expenses....
 
Am surprised kuwa hakuna mtu mwenye concern kabisa...ukilinganisha kuwa kila mshahara unakatwa mafao! Na nikiuliza mishahara ya TRA?...hahahaha
Bado tupo mbali. Universities bongo zina-produce maboga au nini?
 
Sikujua kama watu huwa wanakuwa wakali hivi JF, wakiguswa kwenye anga zao. Pole sana Chapakazi. I wish ningekuwa najua...
 
thanks for the correction. just wondering...mshahara ya Management ya TRA? au board of directors wake wanalipwa ngapi?

.....mkuu kama mlipa kodi una haki ya kujua hilo, lakini mambo mengi sana hapa kwetu ni kimya kimya sana...hata ukiweza kupata basi ni kwamba utakuwa umeibiwa fulani hivi, haiweki public.......! lakini nikwambia don't be suprised kusikia wanakunja zaidi ya 5m bila ya other benefits, ukiweka hizo other benefits.....wanaweza kuwa wanapata between 5m to 20m mzee.....usishangae....!
 
.....mkuu kama mlipa kodi una haki ya kujua hilo, lakini mambo mengi sana hapa kwetu ni kimya kimya sana...hata ukiweza kupata basi ni kwamba utakuwa umeibiwa fulani hivi, haiweki public.......! lakini nikwambia don't be suprised kusikia wanakunja zaidi ya 5m bila ya other benefits, ukiweka hizo other benefits.....wanaweza kuwa wanapata between 5m to 20m mzee.....usishangae....!

Si ndo hapo. Kuna mtu amenidokeza ya NSSF nikashangaa! Just wanted to confirm..lakini naona hakuna mwenye data! Nadhani inabidi sasa badala ya kupokea promises za uchaguzi kutoka kwa wagombea ubunge, inabidi tuwafanye wao ndo wa-promise. Na la kwanza ni kupitisha a free information act, la pili ni kukubali kuwepo kwa wagombea binafsi! thats my pledge to tanzanians!
 
ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye data juu ya misharaha ya NSSF na allowances zake! Natanguliza shukrani!

Naamini wenye taarifa sahihi za mishahara ya NSSF ni wafanyakazi wenyewe wa NSSF, tafadhali wasiliana nao wakupe data sahihi za mishahara yao. Vinginevyo hapa utapata taarifa za KUDHANI , KUFIKIRIA na za KUSIKIA
 
Ndivyo walivyo kudanganya mkuu ili usi dadisi zaidi? Siku nyingine mambo ya ufisadi ya kiulizwa utasema pia kwamba mafaili hayo ni siri. Kweli Tanzania tuna safari ndefu.

waache...miye nichachoka na watz! kuna mtu aliniambia watz ni ma-twiga. Yaani wanaendana na nembo yao. Na kwa sasa kweli naliona! Twiga ni mnyama aliyezubaa sana! Na hii ni moja ya characterists za watz. Wameogopa EAC maana wanajua wakenya watawazidi ujanja. Sasa mishahara ya bodi za umma imekuwa siri. Hata kama mtu hujui kwa kichwa, unatakiwa uwe na uwezo wa kupata hiyo information at your own search!
 
Back
Top Bottom