Common sense imeniambia hauko sawa, povu ni wewe unaesomeshwa namba, sasa hivi ndo anakaribia mwaka, mpaka 2025 mtakuwa mmenyooka.Mapovu ya nini nani kakulazimisha kuamini, sepa kimya kimya.
Aliombwa salary slip hakutoaMkuu mi sina facts lakini naona kama umetudanganya. Mkuu si alisema salary yake ame reduce mpaka 9million per month we hapo umeandika 35million
Next time weka chanzo. Angalau hapa umefanya kitu. My apologies.You're barking at the wrong tree, waliokusanya data sio mimi ni www.mywage.co.za.
Nyie ndo wale mavichaa kwa kila wanneIla wakwetu kwakweli hata alipwe Billion 1 per month mimi sijali anautendea kazi mshahara sio fisadi wala hana hiyo kitu.
Upumbavu wake mleta mada ni upi ktk hili?Acha upumbavu mtoa mada. Hivi hivi hujikuta mkishughulikiwa. Japo siiungi mkono serikali ya JPM na vilevile hata kwa wewe mtoa mada najua hukubaliani na serikali ya mheshimiwa lakini kabla ya kutoa taarifa zozote fikiria athari zake.
Sorry athali=athari mkuu. Niliongea vile kwa faida yake kwa sababu maelezo yake hayakua backed up na link ya taarifa. Ila ameni-quote na kunipa link. Maana serikali yenyewe hii haeleweki mara utasikia umefunguliwa kesi ya uchochezi na uzushi.Athali zipi? Kusa ukweli
Ameweka taarifa bila ya kiungo chenye source ya taarifa yenyewe. Hukawii kufunguliwa kesi na jamhuri na kuitwa mchochezi na mzushiUpumbavu wake mleta mada ni upi ktk hili?
Halafu anawbia wenzake wa 35,000,000 kuwa wana mishahara mikubwa. He is not.serious God Lord
MAGUFULI AFYEKA MISHAHARA YA VIGOGO
Chato. Rais John Magufuli ametangaza kiama cha watendaji wakuu wa mashirika na taasisi za umma waliojipangia mishahara minono kufikia Sh40 milioni akiahidi kuifyeka hadi kiwango kisichozidi Sh15 milioni kuanzia bajeti ijayo ya fedha ikiwa ni punguzo la asilimia 63.
“Atakayeona kiwango hicho ni kidogo namshauri aanze kutafuta kazi sehemu nyingine kwa sababu hatuwezi kuendelea kulipana mishahara minono kiasi hicho katikati ya wananchi wanaoishi katika lindi la umaskini,” alisema Rais Magufuli na kushangiliwa kwa nguvu na wananchi.
Akihutubia mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Mazaina mjini Chato jana katika siku yake ya kwanza nyumbani kwake tangu achaguliwe kushika wadhifa huo, Rais Magufuli aliahidi kupandisha mishahara ya watumishi wa chini ili kupunguza tofauti ya kipato kati yao na wale wa juu. “Katika Serikali ninayoongoza, sitegemei kumlipa mtumishi zaidi ya Sh15 milioni; tayari nimeunda tume kushughulikia suala hilo,” alisema na kuongeza: “Kiwango tunachopunguza kutoka kwenye mishahara minono ya wakubwa tutawaongezea watumishi wa chini ambao baadhi wanalipwa mishahara midogo inayoanzia Sh300, 000.”
Umepewa link futa povuSasa umeona .co.za ndo umeamua kuamini?? Dude, you are hopeless.
Umejuaje!Ila wakwetu kwakweli hata alipwe Billion 1 per month mimi sijali anautendea kazi mshahara sio fisadi wala hana hiyo kitu.
Mshahara wa rais haukatwi kodi yeyote.Huyu rais hana uchungu na nchi hii hata kidogo, ukute hapo hata PAYE hakatwi!