NAMSHUKURU mleta Uzi, amenisaidia sana, kumbe mishahara ya Marais ni Kidogo hivyo, Nchi Kama Marekani Raisi Monthly anachota 33,333 hiyo ni gross Bado net pay ambayo baada ya makatokato ya Uzeeni possibly anabaki Na 25,000 usd, kitu gani Kwa linchi kubwa Kama Hilo, hapo anatakiwa awasomeshe Watoto wake, nguo zake, amfurahishe Michelle, achangie JF Kama ni member, Obama atabaki Na nini, true Kwamba Usafiri, house, bill zote, Na mengine analipiwa Na state lakini amana yake ni kiduchu sana, nakubali Kwamba Urais ni Utumishi SIO KIPATO, waNaogombea uongozi wa Nchi Kwa shinikizo la njaa zao Basi hapa wapate SOMO. HAKUNA FEDHA KWENYE SIASA NI UTUMISHI TU..
mkapa aliondoka na mshahara wa milioni 66per month nadhani ------ since 2005 itakuwa imeshafika milioni 100 na ushee kwa mwezi kama sio 200 kabisa!. mleta thread hebu tuletee na mshahara alioondoka nao kibaki watu washangae vizuri.
Wapi mshahara wa Rais wetu
Jk
What about TANZANIA?
ok mkuu nazisubiri!Ngoja nikushushie data zake
mwaka 1999 gazeti la Majira liliandika habari kuhusiana na mishahara ya viongozi ukiwemo na mshahara wa rais, lilisema rais analipwa shilingi milioni 10 za kitanzania kwa mwezi. Baada ya kutoa habari hii gazeti la Majira lilifungiwa kwa muda.
Una maana mshahara wa rais wa tanzania ni SIRI....KALI ambapo serikali haitaki kuweka wazi?
Tupakulie za east afrika mkuu.
AMAZING AMAZING AMAZING AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!
Mahmoud Ahmadinejad
- President Iran - Born:
1956
Iran - Married -
Children: 3
Annual: USD 3,000.00 Monthly: USD 250.00
Weekly: USD 60.00
Daily: USD 12.00